Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Ha
Sasa hela za mikorogo atapata wapi?
Hapo sasa, Mwarabu fighter pia ni WA kuonea huruma, alishapata Amira ya kudumu baada ya kutimuliwa Kwa Diamond 💎💎💎💎💎.
 
Hapana mwamposa hajafanya jambo lolote baya. Injili yake ni nzuri inaeleweka.

Injili ni moja tu. Injili ni ya Kristo. Hakuna injili ya Mwamposa.

Labda ungesema kuwa mbinu na ujamja anaoutumia Mwamposa ni mzuri kwa vigezo unavyovijua wewe.
 
Serikali inatakiwa ifungie makanisa yote yanayo chipua kama Uyoga au wapelekwe hospital waombee wagonjwa kama kweli wao ni mitume kama wanavyo jitangaza.
Serikali haitakiwi kupangia watu wajihusishe na imani gani
 
Am a Christian,and I believe on Christianity.

Huyo jamaa alitakiwa atimuliwe nje ya bongo kabisa.
Wewe na imani yako sio SI unit ya Ukristo, huna hak ya imani Kikristo kumzidi.
 
Hata hivyo sio kazi ya serikali kuamua kanisa lipi la kweli lipi la uongo. Serikali za kuzimu kujipatia madaraka ya ku-regulate ukristo ni kosa kubwa sana!!
Na kuna Wakristo wanashangilia kama piano kuwa regulated na serikali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…