Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Kwa mantiki yako kwa hiyo hata matapeli wakiwa wanatoa risiti waachwe waendelee kwa vile watakuwa wanaiingizia serikali mapato.
 
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo...
= ukidhalilishwa.

Rudi ujisalimishe kwa muumba wako, kuwa Muislam.
 
Kwa mantiki yako kwa hiyo hata matapeli wakiwa wanatoa risiti waachwe waendelee kwa vile watakuwa wanaiingizia serikali mapato.
Serikali inahitaji mapato Wewe buni buni utapeli wako huko Ila usisahau mrija mmoja uelekeo uwe Serikalini ilipe Serikali na Serikali itakua pamoja na Wewe sababu upo kwenye kanzidata yao ya malipo
 
= ukidhalilishwa.

Rudi ujisalimishe kwa muumba wako, kuwa Muislam.
Kwa hiyo hao Mashehe wanaotabiri nyota na kufanya uganga wa kienyeji kwa kutumia quran nao wanaufanya Uislam usiwe dini?

Acha ujinga na upumbavu dini haina shida shida ni watu kutumia dini kwa masrahi yao!

Ukristo ni ufuasi wa Yesu kwa hiyo sisi kuitwa dini au blahblah kama hizo tunawqachini nyjnyi wafuasi wa Mod na Allah!
 
= ukidhalilishwa.


Ukristo siyo dini, ni upigaji tu. Rudi ujisalimishe kwa muumba wako, kuwa Muislam.
Upo sahihi kusema kuwa kuwa ukristo siyo dini.

Dini ni njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu. Dini zipo nyingi kama uislamu,ushinto,uhindu,ubudha nk.

Ukristo ni maisha halisi na njia ya mwanadamu ya kuishi sawasawa na kristo Yesu alivyoishi..Yaani upendo,huruma na kuubeba msalaba hadi Golgotha (hatma). Kuwa M'KRISTO' ni kazi kuliko kuabudu katika dini bi Faiza.

Kabla Yesu hajaondoka duniani,siku Moja aliongea na wanafunzi wake akayatabiri haya yote tunayoyajadili hapa. Kasome kitabu cha Mathayo sura yote ya 24..."katika siku ya hukumu ,wengine (kina kiboko ya wachawi)watasema,bwana tulitoa mapepo na kufanya miujiza jina lako,lakini Mimi nitawaambia sikuwahi kuwatambua"

Tumsifu Yesu kristo.
 
Si wanaenda kwa hiyari yao pale!?Hivi mtu asiyefanikiwa jambo lake atarudi au kung'ang'ania mahala kweli..Mfalme Zumaridi wa Mwanza kaibwaga Serikali Mahakamani, kwa grounds kama hizi japo tunazibeza..Eti anawatapeli watu,anawarubuni, mara anawasafirisha sijui kitumwa nk.Kuyathibitisha haya pasi na shaka ikawa kipengele kwa Serikali ya CCM
 
Ufahamu wako mdogo sana ustaadhi, kwahiyo kwa akili yako unadhani waumini hawajui kuwa yale mafuta yanapatikana madukani!? Na kwa taarifa yako wengine huenda na mafuta yao ila kinachowapeleka ni maombi yaliyofanyika kwenye hayo mafuta (nguvu) na si mafuta kama mafuta. Hata maji pia huwa anawapa na ni maji haya haya unayoyafahamu wewe lkn kinachotofautiana ni nguvu iliyopo kwenye hayo maji. Nenda siku moja utakutana na mashekhati kibao wamefata maji.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…