Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Eeebwana Wewe ndio nilikua nakutafuta na nimekupata, haya kwa hio hio nguvu kwenye Mafuta na Maji anaitia kutoka Wapi? Maana Watoto mafala mafala hamuishi kudanganywa Kiboko ya Wachawi kawaongopea Weeee Serikali ilipoona hawapi mapato wakamtia lock Mwoposa hakuna cha nguvu hakuna cha nini Mzee wangu anacheza na uwepo wa Serikali tu ushanielewa Serikali ndio inampatia airtime afanye suu aikorofishe Serikali ndio mtakapojua ana nguvu anazozutia kwenye Mafuta au Hana
 
Mara ya Mwisho uliponunua Maji na Mafuta kwa Mwoposa ulipewa risiti halali ya malipo ya Serikali au haukupewa?
Ustaadhi unaumia nini wakristo kutoa pesa kwenye madhabau wanazoamini!? Unadhani ni wajinga kiasi hicho kwamba wanatoa pesa sehemu wasiyopata matokeo!? Nyie zile dua mnazopiga mkiwa utupu (na kanzu tupu bila boxer) usiku wa manani kama si ushirikina ni nini? Kama uchawi na utapeli basi huko kwenu ndo umetaradadi.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Nimeshakwambia Mwoposa kwanza ana Kadi ya Chama cha Mapinduzi ni Mwanachama Hai wa CCM ushaelewa au haujui? Pili Mwoposa analipa Kodi TRA Mamlaka ya Mapato Tanzania ushaelewa? Tatu Ile ni Biashara sio Ibada ushaelewa vizuri Wewe kibungo?
 
= ukidhalilishwa.


Ukristo siyo dini, ni upigaji tu. Rudi ujisalimishe kwa muumba wako, kuwa Muislam.
Uislam huo wa maustaadhi wanaofira watoto madrasa!? Au wa kuuficha uchawi kwenye kivuli cha dua!? Masheikh woote ni waganga wa kienyeji mpaka hapo ushajua yupi sahihi na yupi si sahihi, anyaways hivi mtume Mudi si ndo alioa kitoto cha miaka 9? Na quran si ndo alishushiwa mapangoni na hayo mnayoyaita majini ambayo kwenu ni ndugu zenu katika imaani!?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hujamalizana na MIMI Wewe njoo nikuongezee Spana zingine Mbwa Wewe
 
Umenena kweli kabisa, watanzania tunazidi ujinga na upumbavu. Anachokifanya Mwamposa ni utapeli na unyang'anyi usiokuwa wa kutumia nguvu. Serikali imeamua kuungana naye kuwatapeli wananchi. Matatizo mengi yanayopelekwa pale yangepata utatuzi kama serikali ingeliwekeza vya kutosha kwenye huduma za kijamii.
 
Hapana mwamposa hajafanya jambo lolote baya. Injili yake ni nzuri inaeleweka.
Hakuna Injili kwa Mwamposa,kinachokusumbua wewe ni upofu wa kiroho.Someni Biblia na mtamanini Roho Mtakatifu muweze kuiona kweli.Bila Roho Mtakatifu mtadanganywa sana.Mwamposa ni mganga wa kienyeji kama wengine tu.Eti keki ya upako,huu ni udhalishaji wa ufahamu wa watu wa dhahiri,keki haiwezi kuwa na upako asilani.
 
even mwamposa ni same thing
 
Qur'an haina ujinga huo, aliyekwambia anatumia Qur'an kufanya "uganga wa kienyeji" kakutapeli huyo.

Isome Qur'an kijana, usidanganywe kijinga.
 
Ukiona hivyo huyo siyo Muislam, ni shetani mkubwa anayejificha kwenye joho la Uislam.

Matapeli hao wamekudanganya kuwa ni waganga wa kienyeji, wanatumia advantage ya ujinga wenu.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi mungu.


Wewe hata jina 'wakristo" huelewi limetokea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…