Upo sahihi kusema kuwa kuwa ukristo siyo dini.
Dini ni njia ya mwanadamu kumtafuta Mungu. Dini zipo nyingi kama uislamu,ushinto,uhindu,ubudha nk.
Ukristo ni maisha halisi na njia ya mwanadamu ya kuishi sawasawa na kristo Yesu alivyoishi..Yaani upendo,huruma na kuubeba msalaba hadi Golgotha (hatma). Kuwa M'KRISTO' ni kazi kuliko kuabudu katika dini bi Faiza.
Kabla Yesu hajaondoka duniani,siku Moja aliongea na wanafunzi wake akayatabiri haya yote tunayoyajadili hapa. Kasome kitabu cha Mathayo sura yote ya 24..."katika siku ya hukumu ,wengine (kina kiboko ya wachawi)watasema,bwana tulitoa mapepo na kufanya miujiza jina lako,lakini Mimi nitawaambia sikuwahi kuwatambua"
Tumsifu Yesu kristo.