NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Katika dini duniani hakuna dini ambayo imechezewa kama dini ya Ukristo.
Dini pekee ambayo ni ya haki na haina unafiki ni uislam labda na zingine sizijui
*** kwenye uslam huwezi sikia mtu anasema msikiti wangu.Unaweza jenga msikiti na bado ikafika mahali ukatolewa na kamati kama hufuati taratibu
*** kwenye uislam huwezi shinikizwa kwenye ndoa ambayo ina mgogoro mkubwa kisa tu kikifungwa mbinguni na duniani kimefungwa ndoa ni hadi kifo
*** kwenye uslam ndoa zao hawafungi kwa manjonjo kikubwa maelewano
*** kwenye uislam huwezi sikia mtu anajiita nabii akitokea mtu wa hivyo kichwa na shingo yake ni halali.
***kwenye uislam nabii wanaotambulikia wakubwa ni Issa bin Mariam(YESU) na Mtume Mohamedi na tena YESU ni zaidi ya nabii Muhamad yeye ni Masiha.
*** kwenye uislam sadaka hailazimishwi
***kwenye uislam nyumba ya ibada inaheshimiwa sana watu wote ni sawa mistaari ya mbele au kiti flani sio kwa ajili ya muheshimiwa flani tu hata ukiwa waziri mkuu ukichelewa unakaa nyuma
***kwenye uislam huwezi sikia mafuta yaliyobarikiwa tena na binadamu mwenzako
***kwenye uislam kiumbe mwanamke ni kiumbe anayehishimika mno na kusetiriwa kutokana na maumbile yao kinyume watu wanavyofikiri na hata mavazi ya mwanamke anafunika viungo vyake sio dini zingine mtu anakwenda kanisani na kimini
***kwenye uislam huwezi sikia eti marehemu alikuwa haendi kusali hivyo watoa huduma hawaendi mtu anasetiriwa Allah ndio mwenye hukumu huko mbele.
*** kwenye uslam huwezi ona maiti inadhalilishwa inaachwa ikae muda mrefu kila mtu anaiangalia badala ya kusetiriwa haraka.
Namkubali sana raisi Paul Kagame nchi kwake ili uwe mhubiri uonyeshe cheti cha teolojia