Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mwanza city!Ubarikiwe, Kama Kuna mahala pengine pia usisite kushusha Nondo.
wasukuma wana hela sana hawasumbui kulipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza city!Ubarikiwe, Kama Kuna mahala pengine pia usisite kushusha Nondo.
Matairi mapya?Inalipa sana mjini hapa...
Hiyo hela njoo uidumbukize kwwnye kuuza matairi na mabetri ya gari pesa yako itarudi fasta tu
Ukishaona mtu anataka kufanya biashara yoyote mpya lakini hata eneo la kuifanyia hajui basi ujue uwezekano wa kufeli ni mkubwa. Back to the topic: Zahanati za aina huwa zinaongeza vifo na maradhi badala ya kupunguza. Hospital siyo kitu cha kuanzia kwa kuunga unga. Najua wapo waliofanikiwa kwa kuunga unga mwanzoni lakini kungekuwa na ufuatiliaji wa makini ungekuta ni wagonjwa wengi wanafariki kwa sababu ya hizi huduma za kuunga unga.Hakuna kitu kibaya kama kuweka pesa mingi kwenye biashara mpya ambayo huijui!?
Shukrani,Mkuu kuhusu Vifaa Na Madawa nafahamu wapi nikanunue kwa gharama nafuu au mdogo.Mil. 200 Kwa ajili ya kufungua kituo Cha afya inawezekana kabsa.....sehemu itakayokula pesa ndefu sana ni laboratory ambapo Kwa kuanza na vifaa vya muhimu kama microscope, glucometer, multistick dipstick stripes n.k bugdet ni kama mil.30-mil.50.....ushauru wangu ni kwamba fuatilia kuhusu location na majengo Kwa upande wa laboratory unaweza kunicheki nikakusaidia budget.
kaka hapo umedanganya kidogo kwa vifaa vya laboratory kwa kituo cha afya, 30M ni pesa inayojitosheleza na kuzidi maana 25M inatosha kila kitu!.Mil. 200 Kwa ajili ya kufungua kituo Cha afya inawezekana kabsa.....sehemu itakayokula pesa ndefu sana ni laboratory ambapo Kwa kuanza na vifaa vya muhimu kama microscope, glucometer, multistick dipstick stripes n.k bugdet ni kama mil.30-mil.50.....ushauru wangu ni kwamba fuatilia kuhusu location na majengo Kwa upande wa laboratory unaweza kunicheki nikakusaidia budget.
Njoo pm kakaHusika na kichwa taja chajieleza
Naomba Mnipe Strategic Areas, ambalo naweza kufungua Kituo Cha Afya, isipokuwa ndani ya Mkoa Wa Dar Es Salaam.
Mkuu nipe ABC za biashara hii pleaseHiyo hela njoo uidumbukize kwwnye kuuza matairi na mabetri ya gari pesa yako itarudi fasta tu
Hii Biashara ipojeHiyo hela njoo uidumbukize kwwnye kuuza matairi na mabetri ya gari pesa yako itarudi fasta tu