Kufungua kituo cha afya kwa mtaji wa Tsh milioni 200

Kufungua kituo cha afya kwa mtaji wa Tsh milioni 200

Mil. 200 Kwa ajili ya kufungua kituo Cha afya inawezekana kabsa.....sehemu itakayokula pesa ndefu sana ni laboratory ambapo Kwa kuanza na vifaa vya muhimu kama microscope, glucometer, multistick dipstick stripes n.k bugdet ni kama mil.30-mil.50.....ushauru wangu ni kwamba fuatilia kuhusu location na majengo Kwa upande wa laboratory unaweza kunicheki nikakusaidia budget.
 
Hakuna kitu kibaya kama kuweka pesa mingi kwenye biashara mpya ambayo huijui!?
Ukishaona mtu anataka kufanya biashara yoyote mpya lakini hata eneo la kuifanyia hajui basi ujue uwezekano wa kufeli ni mkubwa. Back to the topic: Zahanati za aina huwa zinaongeza vifo na maradhi badala ya kupunguza. Hospital siyo kitu cha kuanzia kwa kuunga unga. Najua wapo waliofanikiwa kwa kuunga unga mwanzoni lakini kungekuwa na ufuatiliaji wa makini ungekuta ni wagonjwa wengi wanafariki kwa sababu ya hizi huduma za kuunga unga.
 
Mil. 200 Kwa ajili ya kufungua kituo Cha afya inawezekana kabsa.....sehemu itakayokula pesa ndefu sana ni laboratory ambapo Kwa kuanza na vifaa vya muhimu kama microscope, glucometer, multistick dipstick stripes n.k bugdet ni kama mil.30-mil.50.....ushauru wangu ni kwamba fuatilia kuhusu location na majengo Kwa upande wa laboratory unaweza kunicheki nikakusaidia budget.
Shukrani,Mkuu kuhusu Vifaa Na Madawa nafahamu wapi nikanunue kwa gharama nafuu au mdogo.
 
Mil. 200 Kwa ajili ya kufungua kituo Cha afya inawezekana kabsa.....sehemu itakayokula pesa ndefu sana ni laboratory ambapo Kwa kuanza na vifaa vya muhimu kama microscope, glucometer, multistick dipstick stripes n.k bugdet ni kama mil.30-mil.50.....ushauru wangu ni kwamba fuatilia kuhusu location na majengo Kwa upande wa laboratory unaweza kunicheki nikakusaidia budget.
kaka hapo umedanganya kidogo kwa vifaa vya laboratory kwa kituo cha afya, 30M ni pesa inayojitosheleza na kuzidi maana 25M inatosha kila kitu!.

kunradhi kama nitakua nmekukera
 
changamoto kubwa sana ni majengo mkuu!. kwa vifaa utaweza kuanza kwa kiasi tu!.

na pia lenga wilaya ndogo zinazokua na zenye mzunguko wa pesa unaoridhisha!. kwa hilo famya utafiti ww mwenyewe!.. maana binafsi sijawah kufanya utafiti wa hilo, so sitaki kukurupuka kwa kukutajia tu!.

mwisho jiandae na bajeti ya kukiendesha hcho kituo cha afya kwa miezi 6 bila kutegemea faida na uwe na uwezo wa kuwalipa wafanyakazi wako!.

ahsante!.
 
Sidhani ...

Iko hivi: akifungua kituo Cha afya yafuatayo ndiyo yatakayoleta mapato.

1. Kupima afya.

hapa inaeleweka kupima damu kubwa (BS), choo(stool), consultation( kumuona daktari) hapa Kila kimoja Kila bei yake. Mtu kaungua na maji sjui gesi mara mtoto kavunjika mkono. Hapa ndio kituo Cha afya huanza kupata pesa

2. Dawa.

Ni vyema kituo kikawa na duka la dawa.
Faida kwenye dawa ni pasu Kwa pasu Huwa dawa hazina hasara. Hakuna nipunguzie bei.

3. Huduma ya kunywa na meno.

Huduma hii inafaida kwasababu watu wengi wanapata matatizo ya aina hii.

4. Kulaza wagonjwa.

Gharama ya kulaza mgonjwa sio pesa kidogo. Na usisahau tunaumwa Kila siku na vituo vya afya havina likizo.

5. Huduma ya kuzalisha wajawazito.

Iwe mjamzito atajifungua kawaida au Kwa oparesheni malipo ya huduma iyo sio kidogo na huchukua mpaka takribani wiki mbili na
 
Strategic point yako inakutuma uende wilaya gani? Ninachofahamu ni hekima kukaa karibu na hospitali kubwa, pia uwe umespecialise kwenye cases fulani mfano watoto, akinamama N. K. Kama ilala inbox me.
 
Milioni 200 mmmh tuachege ujinga haitoshi kuweka ata miundo mbinu kwenye jengo. But ni vizuri kuwaza zaidi ya uwezo wako
 
Hapo kufungua HEALTH CENTER ni mtihani labda DISPENSARY maana vifaa vya kawaida kabisa Theater ukiachana na jengo ndo hiyo hela...
 
Back
Top Bottom