"Tanzania iliwaomba UN iwape nafasi China" ,nafasi gani? Sijaelewa hapoHawazalishi ajira, China viwanda havina idadi. Mwaka 1960-80 Tanzania iliwaomba Umoja wa Mataifa waipe nafasi China Leo hii wana uchumi mkubwa duniani. AKILI MTU WANGU
Ni zaidi ya hilo. Kwa sababi hata ufanyaje mafsnikionyamekuwa kama bahati nasibu.Rushwa!!
Mkuu nimesema wizara iweke sera ya kuvutia viwanda mfano ukiajiri watanzania 5000 haulipi kodi (corporate tax) kwa miaka 2,halafu unachukua kodi zingine PAYE etcWizaea iko focused kukusanya kodi na kuziba mianya ya kodi, but haitengenezi unafuu wa viwanda na biashara kuanzishwa
Si mara ya kwanza kusemwa, ni upeo hafifu walionao viongozi wa sekta husika, focusing kwenye kodi tu lakin kutengeneza mazingira rahisi na wenzeshi ambayo yatazalisha hiyo kodi hawatakiNimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Bora kodi maana ipo wazi. Kuna formalities zisizotabirika. Yaani huwezi wekeza ukalipa kodi ukasema sasa hapa nimemaliza. Zitaibuka taasisi leo hii, kesho ile. Atatoka mtu atakwambia anatokea sijui wapi kuja kuhakiki mfumo wa uchakataji na ununuzi ila wakati unajenga kiwanda hukuwaona na hawakuja kukwambia wapo na wanahitaji nini kutoka kwako.Wizara ya fedha ingeanza kushusha interest rate, na kuweka sera nzuri za uwekezaji tushawishi viwanda vikubwa vije Tanzania, mfano ukiileta Nike au Adidas kuweka kiwanda hapa utazalisha ajira nyingi si chini ya 50000 ,Tanzania ukifika na mtaji wako TRA anataka kodi bora TIC wanahamasisha sana
Huu ni ukweli usiopingika. Serikali ya kishetani ya CCM siku zote inawaza kukamua kodi tu. Sijawahi kuona serikali ya kiquma kama hii ya CCM hapa ulimwenguni.Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Baadhi ya viongozi wa ccm hawana nia njema na maendeleo ya taifa hili zaidi ya kuwaza uchaguzi na ili waendelee kutawala kwa maslahi yao na familia zao.Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Ilimradi unasema 4R na kutaja jina la Mama anaupiga mwingi nafasi yako ina uhakikaSi mara ya kwanza kusemwa, ni upeo hafifu walionao viongozi wa sekta husika, focusing kwenye kodi tu lakin kutengeneza mazingira rahisi na wenzeshi ambayo yatazalisha hiyo kodi hawataki
Wizaea ya viwanda na fedha kunahitajika mabadiliko makubwa
Ukiona huyo mzee anakwambia viwanda vinataka vipate soko EU wakati hawawezi kuuza hapa Tanzania 😂Anamaanisha tumefeliHuu ni ukweli usiopingika. Serikali ya kishetani ya CCM siku zote inawaza kukamua kodi tu. Sijawahi kuona serikali ya kiquma kama hii ya CCM hapa ulimwenguni.
Tunawakatisha tamaa wawekezaji, Mtu kama Manji Quality group ilidhoofu Sana baada ya kutofautiana na viongozi wa juuBora kodi maana ipo wazi. Kuna formalities zisizotabirika. Yaani huwezi wekeza ukalipa kodi ukasema sasa hapa nimemaliza. Zitaibuka taasisi leo hii, kesho ile. Atatoka mtu atakwambia anatokea sijui wapi kuja kuhakiki mfumo wa uchakataji na ununuzi ila wakati unajenga kiwanda hukuwaona na hawakuja kukwambia wapo na wanahitaji nini kutoka kwako.
Kuna mama nilimsikia clouds kanunua mashine, kainstal kwa $6000 halafu kaanza mara paap watu sijui wametoka wapi huko wanamwambia hilo eneo anatakiwa ahame wanampa eneo lingine sababu sijui kuna mpango wanao, hata sikumbuki vizuri. Kuifungua hiyo mashine ni $ za kutosha, kwenda kuifunga tena ni $ za kutosha.
Swali likawa mbona hii mashine haijaota kama uyoga kwamba umeukuta tu asubuhi, miezi kadhaa ujenzi unaendelea na vibali mmetoa, na umeme mkanipa, na maji mkaleta tena kwa gharama, kwanini hamkusema?
Haya, kuna siasa kama hizi tena. Umeonekana upo na Lissu mnakunywa mvinyo mkapigwa picha basi jiandae.Tunawakatisha tamaa wawekezaji, Mtu kama Manji Quality group ilidhoofu Sana baada ya kutofautiana na viongozi wa juu
Yaan ni politics uchawa politics uchawa, but niwachache sana wanaotimiza 4r, the restnni kujipendekezq ili next term wapate teuziIlimradi unasema 4R na kutaja jina la Mama anaupiga mwingi nafasi yako ina uhakika
Mzee Bakhresa shehena meli nzima ya Sukkari ilizamishwa baharini ikasemekana haina viwango sababu alikuwa na ukaribu na Marehemu Maalim Seif. Ndiyo maana matajiri wote wanaitaja CCM GSM, na MO wanaitaja CCM maana wanajua wanaweza kufanyiwa figisuHaya, kuna siasa kama hizi tena. Umeonekana upo na Lissu mnakunywa mvinyo mkapigwa picha basi jiandae.
Tatizo sio mapori, shida ipo kwenye akili ya kuyageuza hayo mapori kuwa migodi ya bidhaa mbalimbali ndio changamoto.Hata kwenye Sukari, haiwezekani tuagize sukari Brazil wakati mapori ya kutosha yapo Tanzania
Acha mkuu kuna project unataka maji, DAWASA hawataki kuunga mpaka uwahonge ,Tanesco hivyohivyo bahati Mbaya tunapoanza kupanga biashara hatuweki bajeti ya Rushwa!!Mtu akitaka kufungua kiwanda , wanamfilisi kabla hajaanza kuzalisha , Kila mtu anataka 10% mpaka wanaumaliza mtaji
Huu ndio ukweli, hawa wachumia matumbo wanawaza kupiga tu shame on you CCM.Hii nchi haina viongozi, waliopo ni watawala tena Wabinafsi, Hebu fuatilia Wizara ya viwanda, halafu angalia wizara ya Uwekezaji ambayo yuko Kitilla Mkumbo, badala ya kulia utaishia kucheka tu