Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

Hawazalishi ajira, China viwanda havina idadi. Mwaka 1960-80 Tanzania iliwaomba Umoja wa Mataifa waipe nafasi China Leo hii wana uchumi mkubwa duniani. AKILI MTU WANGU
"Tanzania iliwaomba UN iwape nafasi China" ,nafasi gani? Sijaelewa hapo
 
Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.

Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.

Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.

Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.

TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.

4R HOYEE

Si mara ya kwanza kusemwa, ni upeo hafifu walionao viongozi wa sekta husika, focusing kwenye kodi tu lakin kutengeneza mazingira rahisi na wenzeshi ambayo yatazalisha hiyo kodi hawataki
Wizaea ya viwanda na fedha kunahitajika mabadiliko makubwa
 
Wizara ya fedha ingeanza kushusha interest rate, na kuweka sera nzuri za uwekezaji tushawishi viwanda vikubwa vije Tanzania, mfano ukiileta Nike au Adidas kuweka kiwanda hapa utazalisha ajira nyingi si chini ya 50000 ,Tanzania ukifika na mtaji wako TRA anataka kodi bora TIC wanahamasisha sana
Bora kodi maana ipo wazi. Kuna formalities zisizotabirika. Yaani huwezi wekeza ukalipa kodi ukasema sasa hapa nimemaliza. Zitaibuka taasisi leo hii, kesho ile. Atatoka mtu atakwambia anatokea sijui wapi kuja kuhakiki mfumo wa uchakataji na ununuzi ila wakati unajenga kiwanda hukuwaona na hawakuja kukwambia wapo na wanahitaji nini kutoka kwako.

Kuna mama nilimsikia clouds kanunua mashine, kainstal kwa $6000 halafu kaanza mara paap watu sijui wametoka wapi huko wanamwambia hilo eneo anatakiwa ahame wanampa eneo lingine sababu sijui kuna mpango wanao, hata sikumbuki vizuri. Kuifungua hiyo mashine ni $ za kutosha, kwenda kuifunga tena ni $ za kutosha.

Swali likawa mbona hii mashine haijaota kama uyoga kwamba umeukuta tu asubuhi, miezi kadhaa ujenzi unaendelea na vibali mmetoa, na umeme mkanipa, na maji mkaleta tena kwa gharama, kwanini hamkusema?
 
Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.

Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.

Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.

Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.

TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.

4R HOYEE

Huu ni ukweli usiopingika. Serikali ya kishetani ya CCM siku zote inawaza kukamua kodi tu. Sijawahi kuona serikali ya kiquma kama hii ya CCM hapa ulimwenguni.
 
Baadhi ya viongozi wa ccm hawana nia njema na maendeleo ya taifa hili zaidi ya kuwaza uchaguzi na ili waendelee kutawala kwa maslahi yao na familia zao.
 
Si mara ya kwanza kusemwa, ni upeo hafifu walionao viongozi wa sekta husika, focusing kwenye kodi tu lakin kutengeneza mazingira rahisi na wenzeshi ambayo yatazalisha hiyo kodi hawataki
Wizaea ya viwanda na fedha kunahitajika mabadiliko makubwa
Ilimradi unasema 4R na kutaja jina la Mama anaupiga mwingi nafasi yako ina uhakika
 
Huu ni ukweli usiopingika. Serikali ya kishetani ya CCM siku zote inawaza kukamua kodi tu. Sijawahi kuona serikali ya kiquma kama hii ya CCM hapa ulimwenguni.
Ukiona huyo mzee anakwambia viwanda vinataka vipate soko EU wakati hawawezi kuuza hapa Tanzania 😂Anamaanisha tumefeli
 
Bora kodi maana ipo wazi. Kuna formalities zisizotabirika. Yaani huwezi wekeza ukalipa kodi ukasema sasa hapa nimemaliza. Zitaibuka taasisi leo hii, kesho ile. Atatoka mtu atakwambia anatokea sijui wapi kuja kuhakiki mfumo wa uchakataji na ununuzi ila wakati unajenga kiwanda hukuwaona na hawakuja kukwambia wapo na wanahitaji nini kutoka kwako.

Kuna mama nilimsikia clouds kanunua mashine, kainstal kwa $6000 halafu kaanza mara paap watu sijui wametoka wapi huko wanamwambia hilo eneo anatakiwa ahame wanampa eneo lingine sababu sijui kuna mpango wanao, hata sikumbuki vizuri. Kuifungua hiyo mashine ni $ za kutosha, kwenda kuifunga tena ni $ za kutosha.

Swali likawa mbona hii mashine haijaota kama uyoga kwamba umeukuta tu asubuhi, miezi kadhaa ujenzi unaendelea na vibali mmetoa, na umeme mkanipa, na maji mkaleta tena kwa gharama, kwanini hamkusema?
Tunawakatisha tamaa wawekezaji, Mtu kama Manji Quality group ilidhoofu Sana baada ya kutofautiana na viongozi wa juu
 
Ajabu viongozi wenye dhamana wanajisifu kuwa mazingira ya uwekezaji ni mazuri.Sijui akili zao zikoje tu.Mfano mwingine kunakiwanda Cha marumaru(tiles)hapo pwani lakini bei zake ni kubwa kuliko zinazotoka china na ulaya ambazo ndiyo imara zaidi kuliko hizo za mkoa wa pwani.mfano mwingine unaagiza gari kutoka ulaya inauzwa milioni kumi lakini ikifika hapa Tanganyika unakadiriwa Kodi inazidi bei ya ununuzi wa gari.kiujumla Tanzania inaongozwa na Wendawazimu
 
Ilimradi unasema 4R na kutaja jina la Mama anaupiga mwingi nafasi yako ina uhakika
Yaan ni politics uchawa politics uchawa, but niwachache sana wanaotimiza 4r, the restnni kujipendekezq ili next term wapate teuzi

Sekta nyeti ya viwanda na biashara hapa nchini inachukuliwa poa sana, bodies zinazohusika zimelala, wako bize na kodi na siasa
 
Haya, kuna siasa kama hizi tena. Umeonekana upo na Lissu mnakunywa mvinyo mkapigwa picha basi jiandae.
Mzee Bakhresa shehena meli nzima ya Sukkari ilizamishwa baharini ikasemekana haina viwango sababu alikuwa na ukaribu na Marehemu Maalim Seif. Ndiyo maana matajiri wote wanaitaja CCM GSM, na MO wanaitaja CCM maana wanajua wanaweza kufanyiwa figisu
 
Mtu akitaka kufungua kiwanda , wanamfilisi kabla hajaanza kuzalisha , Kila mtu anataka 10% mpaka wanaumaliza mtaji
Acha mkuu kuna project unataka maji, DAWASA hawataki kuunga mpaka uwahonge ,Tanesco hivyohivyo bahati Mbaya tunapoanza kupanga biashara hatuweki bajeti ya Rushwa!!
 
Back
Top Bottom