Nchi inaongozwa na majitu mashamba yenye mentality za kijima , gari kwa maisha haya ya sasa ni nyenzo katika shughuli za kila siku ,ila gari nchi hii inaonekana ni luxury na symbol ya utajiriMimi hapo kwenye magari tena haya used sitokuja kuielewa serikali kwa nini inaweka kodi kubwa kiasi kile.
Unaweza kutuambia ni brands zipi za tiles na nondo tunauza nje ?Ni machine zipi zenye kodi nchi hii? Machines kwa asilimia zaidi ya 90 hazing import duty. Nafikiri wengi tunaozungumza mtandaoni hatuna uelewa wa masuala ya uwekezaji mkubwa.
Mfano, sasa uzalishaji wetu wa tiles ni mkubwa kuliko mahitaji na tunauza nje kwa wingi, Cement halikadhalika tuko vizuri, bidhaa za chuma kwa maana ya mabati na nondo tuko vizuri sana, nk
Watanzania tunatabia ya kujidharau sana kısa kasema mzungu, na hatuna taarifa sahihi kuhusu nchi yeti
Mkuu Uko sahihi sana,Mkuu, asante kwa kuleta hii mada.
ila nadhani haupo sahihi kwa asilimia kubwa kusema, "Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa". China ni number moja duniani kwa ku export mazao ya misitu ikiwemo "Mbao". Na imekuwa namba moja kwa kipindi cha mda mrefu kidogo. Pili, hakuna nchi yeyote ya Africa ambayo ipo kwenye top 10 kwenye nyanja ya ku export mbao.
Juu ya hapo, china wanalipa mishahara mikubwa kulinganisha na vipato vya hapa Tanzania kwa watu wa viwandani. inamaana bei za china zilitakiwa kuwa kubwa kwasababu wanalipa mishahara mikubwa,pia kuongeza ushuru na usafirishaji. ila, lakini bado bei zao ni chini kwasababu ya "faida ya kuzalisha kwa wingi au wanaita economy of scale". Hii inasababishwa na kutumia machine au kuwa na miundo mbinu ya kisasa.
Viwanda haviwezi kuja tu kwasababu watu wana pesa, pia inategemea kama kuna experts au upatikanaji wa watu ambao wanauwezo wa kuendesha kiwanda,hii ikiwemo wafanyakazi. Nadhani serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye elimu, haswa kwenye eneo la "technical skills" kuna na vitu kama VETA. hivi ndio vitu vitavyo chochea viwanda.
Mwekezaji anaweza kuwa na pesa ya kuwekeza, ila kama ataona hakuna watu wa kuweza kuendesha hicho kiwanda kwenye nchi, anaweza hasiweze kuwekeza.
Hapa Tanzania tuna viwanda vikubwa 2 vya Tiles, Goodwill na Twyfod. Zote hizi tunauza nje kwa wingi kwenye Soko la SADC na EAC.Unaweza kutuambia ni brands zipi za tiles na nondo tunauza nje ?
Hawa BOT ndio waseng# kabisa sitaki hata kuwasikia , mimi ninatrade Forex , cryptos na pia na trade huduma kwenye platforms kama fiver ,tunahangaika kichizi kwenye kuwithdraw pesa na kufanya transactions .Something need to be done hii nchi iendelee. Hata mtandao wa kupokelea pesa kutoka ughaibuni (PAY PAL) wamezuia. Means wewe ni mtu wa kulipa na kununua tu si kupokea. Najiuliza nia ya huyo kibopa aliepo BOT ni nini hasa kwa vijana wanaotaka kuuza bidhaa zao kwenye masoko ya kimataifa online, Kama si uchawi ni nini? Ccm must go!
Huyo jamaa hizo takwimu zake sijui anaziokota wapi?Unaweza kutuambia ni brands zipi za tiles na nondo tunauza nje ?
Hawa BOT ndio waseng# kabisa sitaki hata kuwasikia , mimi ninatrade Forex , cryptos na pia na trade huduma kwenye platforms kama fiver ,tunahangaika kichizi kwenye kuwithdraw pesa na kufanya transactions .
Hawa wapumbavu wa hii nchi hawajajua hata umuhimu wa kuwa na online wallets kama skrill , netteller ,PayPal nk mpaka leo huduma hizi hamna Bongo , PayPal IPO Kwa kufanya malipo tu ila si kupokea pesa na ukiangalia nature ya hizo kazi ni lazima malipo upokee kwa hizo online wallets kama payoneer ,PayPal nk .
Watu tunalazimika kutumia line za safaricom kenya .
Ujinga sana nchi hii basi tu
Watunga Sera ndiyo importer wakubwa wa hizo bidhaa.Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Bado sana ,tunahitaji tuwe na viwanda zaidi na sio hii ya kuwa na viwanda viwili na sisi tunajiona superpowerHapa Tanzania tuna viwanda vikubwa 2 vya Tiles, Goodwill na Twyfod. Zote hizi tunauza nje kwa wingi kwenye Soko la SADC na EAC.
kuhusu Nondo tunauza nje Kutoka kwenye viwanda vya lodhia n.k tuko vizuri sana kwenye nondo
Mkuu tatizo letu hatujibidiishi kutafuta taarifa sahihi na pia hatuna appetite ya kutembelea viwanda. Matokeo yake ukikuta watu wanacomment mtandaoni unaweza fikiri tuko Dafur ambapo shughuli za maendeleo hazifanyiki kabisaHuyo jamaa hizo takwimu zake sijui anaziokota wapi?
Hivyo viwanda zaidi ya hivyo then utauza wapi? Hakuna mwekezaji anaweza fanya biashara kichaa hivyo mkuu.Bado sana ,tunahitaji tuwe na viwanda zaidi na sio hii ya kuwa na viwanda viwili na sisi tunajiona superpower
Hivyo viwanda zaidi ya hivyo then utauza wapi? Hakuna mwekezaji anaweza fanya biashara kichaa hivyo mkuu.
Labda sasa umeamua kubishana. Kwa ukanda wa EAC hata Kenya ambaye ni superpower anaimport tiles Kutoka Tanzania
Nashukuru umenifahamisha kutokuwepo Kodi kwenye mashine, nitathibitisha ,Ni machine zipi zenye kodi nchi hii? Machines kwa asilimia zaidi ya 90 hazing import duty. Nafikiri wengi tunaozungumza mtandaoni hatuna uelewa wa masuala ya uwekezaji mkubwa.
Mfano, sasa uzalishaji wetu wa tiles ni mkubwa kuliko mahitaji na tunauza nje kwa wingi, Cement halikadhalika tuko vizuri, bidhaa za chuma kwa maana ya mabati na nondo tuko vizuri sana, nk
Watanzania tunatabia ya kujidharau sana kısa kasema mzungu, na hatuna taarifa sahihi kuhusu nchi yeti
Ukipata majibu lete mrejesho mkuuNashukuru umenifahamisha kutokuwepo Kodi kwenye mashine, nitathibitisha ,
Kwenye hayo maeneo ambayo umesema tupo vizuri mbona bei zake haziakisi , mfano nondo na chuma kimepanda sana bei, kama zinazalishwa kwa wingi nilitarajia bei pia ziwe chini
Asante kwa swali zuri,Nashukuru umenifahamisha kutokuwepo Kodi kwenye mashine, nitathibitisha ,
Kwenye hayo maeneo ambayo umesema tupo vizuri mbona bei zake haziakisi , mfano nondo na chuma kimepanda sana bei, kama zinazalishwa kwa wingi nilitarajia bei pia ziwe chini