Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

Mimi hapo kwenye magari tena haya used sitokuja kuielewa serikali kwa nini inaweka kodi kubwa kiasi kile.
Nchi inaongozwa na majitu mashamba yenye mentality za kijima , gari kwa maisha haya ya sasa ni nyenzo katika shughuli za kila siku ,ila gari nchi hii inaonekana ni luxury na symbol ya utajiri
Akili za kimasikini kabisa
 
Ni machine zipi zenye kodi nchi hii? Machines kwa asilimia zaidi ya 90 hazing import duty. Nafikiri wengi tunaozungumza mtandaoni hatuna uelewa wa masuala ya uwekezaji mkubwa.

Mfano, sasa uzalishaji wetu wa tiles ni mkubwa kuliko mahitaji na tunauza nje kwa wingi, Cement halikadhalika tuko vizuri, bidhaa za chuma kwa maana ya mabati na nondo tuko vizuri sana, nk

Watanzania tunatabia ya kujidharau sana kısa kasema mzungu, na hatuna taarifa sahihi kuhusu nchi yeti
Unaweza kutuambia ni brands zipi za tiles na nondo tunauza nje ?
 
Mkuu, asante kwa kuleta hii mada.

ila nadhani haupo sahihi kwa asilimia kubwa kusema, "Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa". China ni number moja duniani kwa ku export mazao ya misitu ikiwemo "Mbao". Na imekuwa namba moja kwa kipindi cha mda mrefu kidogo. Pili, hakuna nchi yeyote ya Africa ambayo ipo kwenye top 10 kwenye nyanja ya ku export mbao.

Juu ya hapo, china wanalipa mishahara mikubwa kulinganisha na vipato vya hapa Tanzania kwa watu wa viwandani. inamaana bei za china zilitakiwa kuwa kubwa kwasababu wanalipa mishahara mikubwa,pia kuongeza ushuru na usafirishaji. ila, lakini bado bei zao ni chini kwasababu ya "faida ya kuzalisha kwa wingi au wanaita economy of scale". Hii inasababishwa na kutumia machine au kuwa na miundo mbinu ya kisasa.

Viwanda haviwezi kuja tu kwasababu watu wana pesa, pia inategemea kama kuna experts au upatikanaji wa watu ambao wanauwezo wa kuendesha kiwanda,hii ikiwemo wafanyakazi. Nadhani serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye elimu, haswa kwenye eneo la "technical skills" kuna na vitu kama VETA. hivi ndio vitu vitavyo chochea viwanda.

Mwekezaji anaweza kuwa na pesa ya kuwekeza, ila kama ataona hakuna watu wa kuweza kuendesha hicho kiwanda kwenye nchi, anaweza hasiweze kuwekeza.
Mkuu Uko sahihi sana,

Bidhaa nyingi Kutoka China Zina import duty ya 35% na zingine zina specific rates ambazo ni Kubwa sana. Hata Ukiweka rate ya 200% kuna uwezekano zikaingia nchini na kuuzwa kwa bei nafuu kwa sababu ya economies of scale.

Balozi ametudanganya, hili tatizo sasa halipo Tanzania tu, ukimsikiliza Trump kuhusu China utaelewa.
 
Unaweza kutuambia ni brands zipi za tiles na nondo tunauza nje ?
Hapa Tanzania tuna viwanda vikubwa 2 vya Tiles, Goodwill na Twyfod. Zote hizi tunauza nje kwa wingi kwenye Soko la SADC na EAC.

kuhusu Nondo tunauza nje Kutoka kwenye viwanda vya lodhia n.k tuko vizuri sana kwenye nondo
 
Something need to be done hii nchi iendelee. Hata mtandao wa kupokelea pesa kutoka ughaibuni (PAY PAL) wamezuia. Means wewe ni mtu wa kulipa na kununua tu si kupokea. Najiuliza nia ya huyo kibopa aliepo BOT ni nini hasa kwa vijana wanaotaka kuuza bidhaa zao kwenye masoko ya kimataifa online, Kama si uchawi ni nini? Ccm must go!
Hawa BOT ndio waseng# kabisa sitaki hata kuwasikia , mimi ninatrade Forex , cryptos na pia na trade huduma kwenye platforms kama fiver ,tunahangaika kichizi kwenye kuwithdraw pesa na kufanya transactions .
Hawa wapumbavu wa hii nchi hawajajua hata umuhimu wa kuwa na online wallets kama skrill , netteller ,PayPal nk mpaka leo huduma hizi hamna Bongo , PayPal IPO Kwa kufanya malipo tu ila si kupokea pesa na ukiangalia nature ya hizo kazi ni lazima malipo upokee kwa hizo online wallets kama payoneer ,PayPal nk .
Watu tunalazimika kutumia line za safaricom kenya .
Ujinga sana nchi hii basi tu
 
Ishu za malipo online hasa PAYPAL ni msiba mzito kwenye hii nchi na ni sisi tu afrika mashariki ndo tuna huo usenge. Najiuliza kama zina shida kwani wenzetu Kenya, South Africa, Rwanda, Nigeria,
Hawajaona hizo shida au uzee tu unawasumbua? Vizee vya BOT vyenye sera za 1961 viondolewe tu tuanze upya. Vijana wanateseka sana upande wa online wallet aisee.
 
Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.

Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.

Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.

Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.

TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.

4R HOYEE

Watunga Sera ndiyo importer wakubwa wa hizo bidhaa.

Mnataka wajiharibie soko wenyewe ?
 
Ulimwengu huu wa e-commerce , vijana wengi wangeweza kujiajiri huku lakini ndio hivyo tena .
Nchi kitu kama PayPal Tu ni shida ,sijui huwa ni kitu gani kipo kwenye vichwa vya hayo majitu huko juu
 
Hapa Tanzania tuna viwanda vikubwa 2 vya Tiles, Goodwill na Twyfod. Zote hizi tunauza nje kwa wingi kwenye Soko la SADC na EAC.

kuhusu Nondo tunauza nje Kutoka kwenye viwanda vya lodhia n.k tuko vizuri sana kwenye nondo
Bado sana ,tunahitaji tuwe na viwanda zaidi na sio hii ya kuwa na viwanda viwili na sisi tunajiona superpower
 
Huyo jamaa hizo takwimu zake sijui anaziokota wapi?
Mkuu tatizo letu hatujibidiishi kutafuta taarifa sahihi na pia hatuna appetite ya kutembelea viwanda. Matokeo yake ukikuta watu wanacomment mtandaoni unaweza fikiri tuko Dafur ambapo shughuli za maendeleo hazifanyiki kabisa
 
Bado sana ,tunahitaji tuwe na viwanda zaidi na sio hii ya kuwa na viwanda viwili na sisi tunajiona superpower
Hivyo viwanda zaidi ya hivyo then utauza wapi? Hakuna mwekezaji anaweza fanya biashara kichaa hivyo mkuu.

Labda sasa umeamua kubishana. Kwa ukanda wa EAC hata Kenya ambaye ni superpower anaimport tiles Kutoka Tanzania
 
Hii Nchi tunatakiwa tufanye walichofanya Nchi kama Vietnam , Indonesia ,Thailand nk au hata China ya enzi za Deng Xiao Ping , reform kubwa sana inatakiwa kufanywa, pia tutafute competitive advantages tudeal nazo ,leo hii huwezi ukasema unafungua kiwanda cha kuchakata karanga hapa na kuzalisha peanut butter ili ifanye exportation kimataifa wakati uzalishaji tu wenyewe ni mdogo mno wa hizo karanga kutoka kwa wakulima so kuanzia kwenye malighafi hii project inakuwa si feasible , economy of scale inahitajika ,Yaani uzalishe kitu mara dufu sana na kwa ubora na bei ndogo sana kiasi kwamba hiyo peanut butter iweze kuliwa na mtu pale Marekani kwenye supermarket ya Walmart au Target hata kwa dollar 2 ili kuweza kushindana vizuri katika soko .
 
Sio utauza wapi ,kwani hiyo nguo iliyojaa au simu inayotumia imetengenezwa Kenya au Tanzania ?

Jiulize inputs zilizowekwa humo mpaka kuzalishwa na hiyo bidhaa kukifikia na wewe unainunua kwa bei hiyo ya Kitonga , ni kwamba kuna factors nyingi sana behind , zimehusika na kufanya hiyo bidhaa iwe competitive katika soko ,wazalishaji wa bidhaa wenye viwanda malalamiko yao mbona yanajulikana nchi hii na wala sio siri ?

Kama tungekuwa
Hivyo viwanda zaidi ya hivyo then utauza wapi? Hakuna mwekezaji anaweza fanya biashara kichaa hivyo mkuu.

Labda sasa umeamua kubishana. Kwa ukanda wa EAC hata Kenya ambaye ni superpower anaimport tiles Kutoka Tanzania
 
Ni machine zipi zenye kodi nchi hii? Machines kwa asilimia zaidi ya 90 hazing import duty. Nafikiri wengi tunaozungumza mtandaoni hatuna uelewa wa masuala ya uwekezaji mkubwa.

Mfano, sasa uzalishaji wetu wa tiles ni mkubwa kuliko mahitaji na tunauza nje kwa wingi, Cement halikadhalika tuko vizuri, bidhaa za chuma kwa maana ya mabati na nondo tuko vizuri sana, nk

Watanzania tunatabia ya kujidharau sana kısa kasema mzungu, na hatuna taarifa sahihi kuhusu nchi yeti
Nashukuru umenifahamisha kutokuwepo Kodi kwenye mashine, nitathibitisha ,

Kwenye hayo maeneo ambayo umesema tupo vizuri mbona bei zake haziakisi , mfano nondo na chuma kimepanda sana bei, kama zinazalishwa kwa wingi nilitarajia bei pia ziwe chini
 
Ukipata majibu lete mrejesho mkuu
 
Sera mbovu za uwekezaji kwa wazawa, na siasa yetu haieleweki…
Ukifungua kiwanda umekaribisha TRA sehemu y’a kuja kupumzikia, wanasiasa wanaohitaji kuungwa mkono pia itakuwa sehemu y’a kujipatia PESA…
 
Nashukuru umenifahamisha kutokuwepo Kodi kwenye mashine, nitathibitisha ,

Kwenye hayo maeneo ambayo umesema tupo vizuri mbona bei zake haziakisi , mfano nondo na chuma kimepanda sana bei, kama zinazalishwa kwa wingi nilitarajia bei pia ziwe chini
Asante kwa swali zuri,

Unachotaliwa kufahaku ni kuwa gharama kubwa kwenye utengenezaji wa nondo na bidhaa zake ni upatikanaji wa raw materials. Kwa sasa chuma tunakitoa Misri baada ya uzalishaji wa South Africa kutuma baada ya Covid. Chuma ni gharama na pia kina import duty kwa kuwa hatuko kwenye jumiya nayo Kama ilivyo EAC na SADC. Just to note, gharama za chuma ziliongezeka Dunian after COVID.

lakini unavyosema nondo zimepanda sana bei unamaanisha nini, against what, Je nondo kwenye nchi nyingine bei zake zipoje??? Haujui kuwa mfumuko wa bei duniani umeathiri bidhaa Karibia zote?

Mfano kuna mdau Jana alichangia kuhusu bei ya Sukari kuwa chini Malawi, lakini ukiangalia mwaka huu Malawi bei ya Sukari ilifikia kwacha 3800 ambayo ni Karibu 6000 ya TZ. na Bado average price ni Kwacha 2200 ambayo ni zaidi ya bei ya Sukari hapa kwetu. Bei ya mafuta TZ ni Ndogo Kuliko Kenya n.k ni muhimu watanzania hasa tulio Mitandaoni kutafuta taarifa sahihi kuhusu nchi yetu.
 
Back
Top Bottom