Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

Hujui maana ya taifa
 
All roads lead to Rome.

Tanzania is a De Facto Papal State.

And there's not much you can do about it.
 
Sheikh ubwabwa jitahidi kula kitimoto kwa wingi alafu rudi usome ulichoandika utagundua akili yako ilivyokua na mapungufu makubwa sana
 
Ungekuwa na akili japo kidogo sana, ungetambua kuwa Serikali imevunja katiba kwa kuwanyima watu uhuru wa kuabudu.

Kanisa linatakiwa kufunguliwa mara moja, na aliyelifungia achukuliwe hatua madhubuti.
 
kwa hiyo, ulikuwa na furaha isiyo kifani waumini wale kufungiwa kanisa lao?

kama mawazo yenyewe ndio haya basi tuna safari ndefu sana
 
Kwani yakifungiwa kwa kisa kipi,nisawa na kusema kwa kuwa slowslow kamwaga mchele na wameula kuku,hivyo afukuzwe nyumbani kwa baba na mama yake atafute kwa kwenda kuishi!
 
 

 
Rubbish
 
Makanisa yenye heshima ni manne4 tu pita jumapili kimyaa hatuna ugomvi apo!!!

aya mengine utamu wa yesuu midundiko yesuuuu mikelele mtatusamee kwenye ili jiji la Kiuchumi !!!

Watu wanachoka wanataka kupunzika !!

uwo utamu Ubaki uko uko kwenye matatizo makubwa kama mbeya na kwengine!!

uku mjini utamu uchungu hatutaki ni kero kero.yesuuuu yessuuuuu midundo mikelele hapana ujinga mtupu.

Jiji la Kiuchumi kulea awa wahuni ni kulikosea heshima jiji letu la Kiuchumi.. wenye makanisa matajiri waumini masikini bado masikini ndio wanakamuliwa na Tajiri!!!

zambi kubwa hii kuilea pia tunapata mizambi..
Serikali kabia apo apo mwenyewe kashajichanganya.

Tungoje na mwengine ajichanganye tupige kitanzi watu wanaishi maeneo ayo wanashukulu sana tena sana yani kimyakimya wanachekea Chooni kusifu Serikali

makanisa yenyewe yajichunguze jina kanisa ndani bugza tupu. Wanatumia vibaya neno kanisa Kagame kayafungia kama yote kujiita kanisa ndio kivuli cha kutupigia mikelele!!.
 
Kanisa la kigaidi hilo haliwezi kufunguliwa
 
Acha ufala wako kanisa la Gwajima lilifungiwa kinyumbe cha sheria kwani Gwajima hakuwa kaweka Udini mbele zaidi ya kuongelea vitendo vibaya vya Utekaji mauaji, Lisu kuwekwa jela kwa uonevu, ya Somalia Sudan yatakujaje hapo? Acha kuja na mifano isiyoendana
 
Serikali ijichanganye iwafungulie tuwaoneshe uhalisia wetu.
Huna cha kuwafanya huna lolote na hawana ugonvi na Dini zingine isipokuwa wewe chizi ndiyo unajidai mwehu , kanisa halina kosa Gwajima hana kosa kwani hakuongelea Dini zingine zaidi ya kukemea vitendo vya mauaji utekaji na kuwatesa chadema
 
Wewe huna cha kuwafanya waumini wa Gwajima kwani hawana ugonvi na Dini zingine hata ukijitamba unajisunbua bure wewe mtu mmoja ukileta fujo zako watakunyoosha mpaka uzimie ufe usifikiri nao hawana nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…