Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,529
- 1,119
Kwani wajeda wameongezwa kikosini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna matumaini makubwa ...Ngoja tusubir mkuu
Haya Sawa ngoja bado muda kidogo tuTuna matumaini makubwa ...
Nimekuambia rejea toka anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi. Huko hutak kurejea unakuja na story za katikati. Nguvu mnayotumia kumpinga ni kubwa mno yaani sana kiasi kuona naye anashindana nanyi.Toka anaapishwa kulikua na kampeni ya watu wasiende kwenye taifa, kaapishwa tu na kaanza kazi tayar kejeli na dhihaka zikaanza. Waliokuwa wanasema nguvu ya soda, remote msoga tv magogoni ni akina nani?Kafuta sherehe za Uhuru zikajenge barabarani bado mkaja juu na siasa uchwara oooh bunge alijahidhinisha nk. Kuelewa Chuki zimeanzia wapi na nani kaanza kuhubiri chuki anza 2015 na hapo ndio uataelewa. Kikubwa baada ya uchaguz mkuu 2015 upinzan uligoma kurudisha majeshi nyuma na hii ni kutokana na lile joto la uchaguz kuwa kubwa sana kuamini wao watashinda uchaguz. Asilimia kubwa wanaompinga ni walewale wa upinzan na wachache sana waliokutana na sekeseke la vyeti au wale mirija yao imezibwa direct or indirect.
Kila lakheri kwenye safari ya hizo fikra zako.
Unautani na Mayala ...Na njaa? Just a joke anyway.
Nashukuru kwa kunitakia safari njema.
Kwa kawaida mimi sina tabia ya kushabikia pamoja na wanafiki na watu wenye roho mbaya. Kitendo cha watu wenye roho chafu kukaa mbele mbele kwenye hiyo timu kimenifanya nisiiponde wala kuishabikia. Hivyo matokeo yoyote leo, ishinde au ishindwe kwangu ni matokeo sawa.
Mh Rais katamka neno KUSHINDA mara nyingi zaidi kuliko neno lolote.Walioshuhudia tukio kama la leo miaka 38 iliyopita hawakujua kama inaweza kutugharimu miaka 38 tena kupata fursa hii. Hii ni nafasi muhimu kwa taifa, tuungane Watanzania.
Nafikiri hoja imeeleweka kuwa waimba chuki ni akina nani. Tuko watanzania 55M sasa kagenge flani kugeuka ndio wasemaji wa watanzania wote haiwezekan. Kama mmetengwa au mmebaguliwa basi ni nyie.Kingine mkuu Tanzania ni zaid ya jf,so kufanya jf kuwa maoni ya watanzania million 55 ni kosa pia.Hakuna jpm anapotaka mumsifie ila akisifiwa tu mnakuja juu sana.Hiyo ndio demokrasia ulitakaje labda? Ulitaka asujudiwe na kila mtu? Hizo unazoniambia sherehe za kuapishwa, kwani enzi za JK hao wapinzani walikuwa wanashiriki hayo mambo ya kitaifa mpaka uone hiyo tabia ilianza wakati wa jpm? Ni dhahiri uwanja wa uchaguzi hauko sawa hata kabla ya huyo Magu hiyo 2015, kama hicho ndio kilio cha muda wote yeye kafanya nini kuondoa hali hiyo ili kuondoa huo mgawanyiko unaoletwa na mwenendo huo zaidi ya yeye kufanya vibaya kuliko mtangulizi wake? Wapinzani warudishe majeshi kwa kujinyenyekeza huku wakifanyiwa ubazazi?
Nafikiri hoja imeeleweka kuwa waimba chuki ni akina nani. Tuko watanzania 55M sasa kagenge flani kugeuka ndio wasemaji wa watanzania wote haiwezekan. Kama mmetengwa au mmebaguliwa basi ni nyie.Kingine mkuu Tanzania ni zaid ya jf,so kufanya jf kuwa maoni ya watanzania million 55 ni kosa pia.Hakuna jpm anapotaka mumsifie ila akisifiwa tu mnakuja juu sana.