Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Nimekuambia rejea toka anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi. Huko hutak kurejea unakuja na story za katikati. Nguvu mnayotumia kumpinga ni kubwa mno yaani sana kiasi kuona naye anashindana nanyi.Toka anaapishwa kulikua na kampeni ya watu wasiende kwenye taifa, kaapishwa tu na kaanza kazi tayar kejeli na dhihaka zikaanza. Waliokuwa wanasema nguvu ya soda, remote msoga tv magogoni ni akina nani?Kafuta sherehe za Uhuru zikajenge barabarani bado mkaja juu na siasa uchwara oooh bunge alijahidhinisha nk. Kuelewa Chuki zimeanzia wapi na nani kaanza kuhubiri chuki anza 2015 na hapo ndio uataelewa. Kikubwa baada ya uchaguz mkuu 2015 upinzan uligoma kurudisha majeshi nyuma na hii ni kutokana na lile joto la uchaguz kuwa kubwa sana kuamini wao watashinda uchaguz. Asilimia kubwa wanaompinga ni walewale wa upinzan na wachache sana waliokutana na sekeseke la vyeti au wale mirija yao imezibwa direct or indirect.

Hiyo ndio demokrasia ulitakaje labda? Ulitaka asujudiwe na kila mtu? Hizo unazoniambia sherehe za kuapishwa, kwani enzi za JK hao wapinzani walikuwa wanashiriki hayo mambo ya kitaifa mpaka uone hiyo tabia ilianza wakati wa jpm? Ni dhahiri uwanja wa uchaguzi hauko sawa hata kabla ya huyo Magu hiyo 2015, kama hicho ndio kilio cha muda wote yeye kafanya nini kuondoa hali hiyo ili kuondoa huo mgawanyiko unaoletwa na mwenendo huo zaidi ya yeye kufanya vibaya kuliko mtangulizi wake? Wapinzani warudishe majeshi kwa kujinyenyekeza huku wakifanyiwa ubazazi?
 
Hii ni thread ya kibwege sana. Unaandika tu haitashinda na ndio umaliza?
 
Walioshuhudia tukio kama la leo miaka 38 iliyopita hawakujua kama inaweza kutugharimu miaka 38 tena kupata fursa hii. Hii ni nafasi muhimu kwa taifa, tuungane Watanzania.
 
1980
FB_IMG_1542533870664.jpg
 
Wanafiki Wanawajua wanafki wenzeo
Kwa kawaida mimi sina tabia ya kushabikia pamoja na wanafiki na watu wenye roho mbaya. Kitendo cha watu wenye roho chafu kukaa mbele mbele kwenye hiyo timu kimenifanya nisiiponde wala kuishabikia. Hivyo matokeo yoyote leo, ishinde au ishindwe kwangu ni matokeo sawa.
 
Walioshuhudia tukio kama la leo miaka 38 iliyopita hawakujua kama inaweza kutugharimu miaka 38 tena kupata fursa hii. Hii ni nafasi muhimu kwa taifa, tuungane Watanzania.
Mh Rais katamka neno KUSHINDA mara nyingi zaidi kuliko neno lolote.
.......
Sasa TAIFA STAR wasiyasahau maneno yake na hasa neno USHINDI.
.....
HAKIKA KWA KUWA WATANZANIA WALISHACHOKA KUWA WASINDIKIZAJI NA KICHWA CHA MWENDEWAZIMU BASI ATAKACHOAMUA RAIS JUU YAO BAADA YA KUSHINDWA ITAKUA NI KWA MASLAHI YA TAIFA.
.....
HATUWEZI KUWA NA WACHEZAJI AMBAO KILA SIKU WAKIINGIA KWENYE VIWANJA VYA MPIRA, WAO SOKA WANAONA NI BORA WANACHEZA.

USHINDI WAO NDIO JASHO LA WATANZANIA.
 
Hiyo ndio demokrasia ulitakaje labda? Ulitaka asujudiwe na kila mtu? Hizo unazoniambia sherehe za kuapishwa, kwani enzi za JK hao wapinzani walikuwa wanashiriki hayo mambo ya kitaifa mpaka uone hiyo tabia ilianza wakati wa jpm? Ni dhahiri uwanja wa uchaguzi hauko sawa hata kabla ya huyo Magu hiyo 2015, kama hicho ndio kilio cha muda wote yeye kafanya nini kuondoa hali hiyo ili kuondoa huo mgawanyiko unaoletwa na mwenendo huo zaidi ya yeye kufanya vibaya kuliko mtangulizi wake? Wapinzani warudishe majeshi kwa kujinyenyekeza huku wakifanyiwa ubazazi?
Nafikiri hoja imeeleweka kuwa waimba chuki ni akina nani. Tuko watanzania 55M sasa kagenge flani kugeuka ndio wasemaji wa watanzania wote haiwezekan. Kama mmetengwa au mmebaguliwa basi ni nyie.Kingine mkuu Tanzania ni zaid ya jf,so kufanya jf kuwa maoni ya watanzania million 55 ni kosa pia.Hakuna jpm anapotaka mumsifie ila akisifiwa tu mnakuja juu sana.
 
Unaposema hoja imeeleweka sijui unamaanisha nini. Kama kuna uonevu na manyanyaso ya kundi fulani huhitaji watanzania wote 55m kukiri hilo. Wanaooona hawafanyiwi sawa ni jukumu lao kupiga kelele bila kujali walionyamaza ni wangapi.

Ni kweli Tanzania ni zaidi ya jf, lakini ni lini umeona wananchi wote 55m wameamka na kuongea sauti moja zaidi ya makundi fulani fulani kuwakilisha hisia zao? Kama kina Warioba walizunguka nchi nzima na kukusanya maoni, kisha kundi la watu wasiozidi 700 kwenye bunge la katiba wakaenda kubadilisha maoni ya wengi, unashaangaa nini kelele za jf yenye wanachama 400,000+? Wakati maoni ya wananchi yaliyokusanywa kwa mujibu wa sheria yakichachuliwa uliona hao wananchi 55m wakifanya lolote zaidi ya kuburuzwa na genge dogo la wanaccm? Achana na idadi ya watu, angalia kwanini kuna kelele.

Hakuna anayekataa Magu kusifiwa, hao wanaomsifia hata wakitaka kuhamia ikulu waishi naye ni sawa. Na yeye ndio huwa anataka wananchi wote wamuunge mkono, sisi wakosoaji ni kuonyesha penye mapungufu, kinachowakera nyie ni sisi kutumia uhuru wetu kutojipendekeza na kusema yanayowaudhi
 
Sina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.

Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Lesotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....

Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.

Update.
HATIMAE ILE NDOTO YANGU IMETIMIA.
LESOTHO 1-TAIFA STARS 0

sio kwamba nmefurai sana hapana nlitaka kuwaanda watanzania juu ya ndoto yangu hii. Tumuombe jiwe atumie jeshi kwenye mechi dhidi ya Uganda la sivyo ntakuja na ndoto mbaya tena
 
Back
Top Bottom