Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mfano mapumziko akijiloga akalog in jf kama amaejiunga walahii anapitilizaa kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende tu si kwa kikosi kibovu kiasi hicho
 
Wadau mi nashauri hats kama tutafuzu huu mtihani amunike tumtupie virago mi sijaona bado nini anatakiwa akifanye kwa timu yetu pendwa ya taifa. Match ya Leo ilikuwa ya kwetu kabisaaa. Hawa jamaa ni wepesi mno. Match kama hii tia pale mbele akina boko na kichuya. Then kati mkude mbona tungeshanza kucheka kitambo!!!!
 
Back
Top Bottom