Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Game imekuwa tight, tuendelee kufanya sala wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapombe ana ankle injury
Mexhi ndio nini hii mkuu..Hamna kitu sie mexhi zetu ni cecafa za kina musonye
Biashara asubuhi. Hii game walitakiwa Lesotho wakimbizwe Mwanzo mwisho hawa ilikuwa tuwapige si chini ya goli mbili then ndio aingize hao Mabeki Wake.Huenda ni mbinu ya kujilinda kipindi cha kwanza ili kipindi cha pili awaingize hao kina kichuya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mfano mapumziko akijiloga akalog in jf kama amaejiunga walahii anapitilizaa kwaoNashauri hii mechi tukifungwa Kocha akabangue Korosho mtwara. Mechi ya Uganda kikosi tutapanga wenyewe.
Sanaa kocha anajikuta Zidane kumbe WengerNi vile kocha mbishi tu, hii mechi Ajibu angetusaidia sana
Mkuu mpira ni mbinu wala sio sala...ingekua sala timu za Israel na Saudi arabia wangekua na makombe yote ya dunia hahahaGame imekuwa tight, tuendelee kufanya sala wakuu.
Wee waache wanengenekweeeeZaidi ya sana
Sisi hatujalogwa mkuu sema kocha ndio kalogwa maana hawez kupanga kikosi kibovu kama hikiHatuwezi kushinda game hii. Sijui nani katuloga sisi?
Ila wenzetu wanaumilikiiiiWenzangu huu uwanja mnauonaje mbona kama wanachezea beach au naona vibaya mimi
Tujiulize mara ya mwisho tz kushinda ugenini ni lini?Hatuwezi kushinda game hii. Sijui nani katuloga sisi?
Wanipa pesa 1HT ya U1,5dk 63 Msumbiji 1 Zambia 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende tu si kwa kikosi kibovu kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mfano mapumziko akijiloga akalog in jf kama amaejiunga walahii anapitilizaa kwao
Mkuu mpira ni mbinu wala sio sala...ingekua sala timu za Israel na Saudi arabia wangekua na makombe yote ya dunia hahaha