Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Mpira hauchezwi kwenye magazeti wee nyoosha maelezo kuwa timu yetu Ni mbovu mno wanakuwa Kama wameokotwa okotwa tu siku ya mechi hawana maandalizi uwanjani hawana mpango kila mmoja anapiga mpira mladi uende mbele hawana mipango wala hawajui Kama wapo uwanjani kilicho wapata Ni haki yao walistaili kunyolewa pumbavufu sana hawa
 
Naanza kukubaliana na ile dhana ya Rais, Timu ya Taifa aipeleke Jeshini.
Wachezaji wazuri wazoefu wapo, lakini unawaweka nje mpaka uone timu imezidiwa ndiyo waingie, yaani tunachoka roho na mwili
 
Amunike alikuwa Super staa akiwa anachezea super eagles na Barcelona . Afcon ya 1994 na World Cup ya 1994 yeye na Okocha na Daniel amokachi walikuwa motooooooo.
Kwa wale tuliomuona Enzi zake mutakubaliana na Hilo ila ukocha hawezi . Lakini wachezaji wazuri Mara chache hutokea kuwa makocha wazuri Kama cryuff, beckenbauer ,Kenny daglish,Zidane na guardiola. Maradona , pele , gerd muller wameshindwa ukocha
 
Taifa Stars
Ianze Mchakato Wa Kuzitapika Millions 50Alizotoa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Extra Drill 😃😁🤣😂
 
Pamoja na Timu ya taifa kutokufanya vyema Manula cku hizi anajisahau anapokuwa langoni hupaswi kufanya makosa ya kizembe kiasi hicho jitazame upya na utambue nafasi yako Kama TZ one binafsi ninakulaumu kwa makosa uliyoyafanya ya upanguaji mpira kizembe
 
Mkuu, ndio aliivyofundishwa na kocha.
 
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa stars.
 
Back
Top Bottom