Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Tz naisusa kuanzia Leo...🤪🤪🚶🚶
 
Ila na yule mwamuzi mpumbavu wa Malawi hastahili kabisa kuchezesha Afcon! Yaani mpira umegonga goti, halafu anaweka tuta!

Samatta kama nahodha akashindwa kabisa kwenda kumparamia! Bora angepewa hata kadi ya njano kwa kwenda kumuambia ukweli.
 
Mimi sio mchawi ila ni ndo ukweli wenyewe.
Refa ni mmalawi na mna ugomvi nao na kale kaziwa kwa hiyo wapo 12 uwanjani
Nimejikuta nakuamini! Ile penati inaweza kuthibitisha ulichoandika
 
Wadau.
Vijana Wetu Wazalendo Taifa Stars wamepambana Kiume na kishujaa.
Hata hivyo kwa bahati Mbaya Wamepoteza Mchezo kwa kufungwa goli 2-1.
Tuzidi kuwaombea.
 
Hivi haiwezekani lile goli la penati kufutwa? Maana ni dhahiri ilikosewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…