Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Tz naisusa kuanzia Leo...🤪🤪🚶🚶
 
Ila na yule mwamuzi mpumbavu wa Malawi hastahili kabisa kuchezesha Afcon! Yaani mpira umegonga goti, halafu anaweka tuta!

Samatta kama nahodha akashindwa kabisa kwenda kumparamia! Bora angepewa hata kadi ya njano kwa kwenda kumuambia ukweli.
 
Wadau.
Vijana Wetu Wazalendo Taifa Stars wamepambana Kiume na kishujaa.
Hata hivyo kwa bahati Mbaya Wamepoteza Mchezo kwa kufungwa goli 2-1.
Tuzidi kuwaombea.
 
Mchezo unamalizaka: Libya 2-1 Tanzania (Masoud 67' Saltou 81') (Samatta 17'P)

IMG_20191120_000803.jpeg
 
Hivi haiwezekani lile goli la penati kufutwa? Maana ni dhahiri ilikosewa
 
Back
Top Bottom