Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Kadi ya kwanza ya manjano imetolewa kwa muhamed sola wa libya baada ya kumchezea madhambi mbwana samatta
 
Taifa Stars wanaanza kuwamudu hawa Libya. Tukimaliza 45' bila kufungwa,tunashinda
 
Penaaaaat... Tanzania wanapata penalt baada ya msuva kuchezewa madhambi ndani ya box kwenhe lango la libya
 
Pernalt. Msuva anaangushwa kwenye 18
 
Dk ya 16 tanzania wanapata goli la kuongoza
 
Dk ya 19 libya wanapata kona lakini haina madhara
 
Vijana wetu wanacheza kwa nguvu sana. Jihad kabsaa
 
Vijana wa libya wanajaribu kushambulia lango la tz lakini mpira unaondoshwa kwenye hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…