Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha tu mkuu uchawi umeanza mapemaWachawi bhana sijui kwanini hawapendi maendeleo
Ajabu sana watu wanaombwa link wamekauka utadhani wamekula gundiMwenye link inaonesha online atupie basi
Hakuna hawa leo wanakaa nakwambiaMimi sio mchawi ila ni ndo ukweli wenyewe.
Refa ni mmalawi na mna ugomvi nao na kale kaziwa kwa hiyo wapo 12 uwanjani