Jackline Akyoo
New Member
- Aug 23, 2025
- 3
- 2
Wewe dada kafanye kazi ukifika uko Lima ata mpunga na mtama utatatoboaMimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao sijaupenda na mazingira yake sio mazuri. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y, je inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
Utafuta kazi, ukapata kazi, kafanye kazi. Hayo mazingira magumu, walioko huko wamekufa?. Wenzio hata hiyo nafasi hawana, Acha madekoMimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao sijaupenda na mazingira yake sio mazuri. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y, je inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
Nipo kazini tayariNenda kazini kwanza uingie kwenye mfumo kisha uanze kutafuta uhamisho, unatafutaje uhamisho na bado hawakujui.
Hilo ndio jema👏Nipo kazini tayari