Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Ukiwa unajua mamlaka ya Rais inakotoka wapi na nguvu zake utafuata ushauri wa kuomba kwaajili ya Rais na viongozi wengine
Kweli viongozi huwekwa na Mungu, ila wao ni chaguo Lao aidha kuendelea kuongoza na Mungu au Shetani, viongozi wengi wakishapata uongozi shetani hueadanganya kuwa yeye ndio Kawa weka kwasababu wengi wao aliibiwa kura ndio wawe hapo, na hivyo huku Ali kumtumikia shetani ktk nafasi zao,.. Unakuta maamuzi yao yaupendeleo, tumbo na ma chawa ndio kipaumbele na sio watu wote hongo au rushwa ktk biashara za nchi nk. ndipo pale unaona mauzauza na wakati mwingine tunamlaumu Mungu, kwahiyo maombi ni silaha kwamba kama mtu huyo hatojirudi na kufuata haki basi Mungu atuamulie tu... Hivyo tuendelee kuomba lipo jibu mbele.
 
hakuna asiyejua kuwa huyu kuhani ni nabii wa uongo, na wote wanaoenda pale wanahudumiwa na shetani moja kwa moja na wataenda motoni.

Sawa sawa. Hata Yesu aliambiwa anamtumia belizebuli🤣
Wewe unahudumiwa na nani zaidi ya shetani anayepigwa sawasawa na Yesu wetu
 

Mkiambiwa muombe hasikii halafu yakitokea msiyoyataka mnabaki kulialia
Mnajiita mna imani za mizimu, weningine wana dini na madhehebu lakini hamjui kuvitumia
 
Ifahamu maana ya Kuhani..

Ni mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu...
Hiyo maana naijua, ila huwezi kunidanganya kuwa huyo dogo anapatanisha watu na Mungu huduma hiyo ilikamilishwa na Yesu wala hakuna kuhani wa kutupatanisha na Mungu isipokuwa Yesu Kristo mwenyewe.
 
Ukiwekwa mzabibu mwema mambo yanaenda vyema, ukiwa mzabibu mwitu mmmm Mungu huingilia Kati kama mfalme Sauli 1 Samuel 31
 
Kama mungu yupo naye shetani yupo vilevile

Kama ambavyo mnavyosema mungu anaongoza mtu, nae shetani anawatu wake anawaongoza

Swali ni je tutajuaje huyu anaongozwa na shetani na huyu ni anaongoza na mungu ikiwa kila uzuri una ubaya ndani yake?
 
Sawa sawa. Hata Yesu aliambiwa anamtumia belizebuli🤣
Wewe unahudumiwa na nani zaidi ya shetani anayepigwa sawasawa na Yesu wetu
kuhani musa hata ukimsikiliza, ni pure agent wa kuzimu. kwenye haya makanisa ukiona kuna mpambe pembeni wa kupambisha mahubiri yako, kwanza weka question mark. wanaomjua huyo na mazao wa yule nabii wa uongo yesu wa mkombo aliyetokea congo ambaye alifukuzwa nchini Tanzania. nawaonea huruma wanaohudhuria kwenye lile pagale wanaloita kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…