min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo ndo unavofundishwa majibu ya kifedhuli namna hiyo na kumani mwacha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo ndo unavofundishwa majibu ya kifedhuli namna hiyo na kumani mwacha?
Kweli viongozi huwekwa na Mungu, ila wao ni chaguo Lao aidha kuendelea kuongoza na Mungu au Shetani, viongozi wengi wakishapata uongozi shetani hueadanganya kuwa yeye ndio Kawa weka kwasababu wengi wao aliibiwa kura ndio wawe hapo, na hivyo huku Ali kumtumikia shetani ktk nafasi zao,.. Unakuta maamuzi yao yaupendeleo, tumbo na ma chawa ndio kipaumbele na sio watu wote hongo au rushwa ktk biashara za nchi nk. ndipo pale unaona mauzauza na wakati mwingine tunamlaumu Mungu, kwahiyo maombi ni silaha kwamba kama mtu huyo hatojirudi na kufuata haki basi Mungu atuamulie tu... Hivyo tuendelee kuomba lipo jibu mbele.Ukiwa unajua mamlaka ya Rais inakotoka wapi na nguvu zake utafuata ushauri wa kuomba kwaajili ya Rais na viongozi wengine
hakuna asiyejua kuwa huyu kuhani ni nabii wa uongo, na wote wanaoenda pale wanahudumiwa na shetani moja kwa moja na wataenda motoni.
Kweli viongozi huwekwa na Mungu, ila wao ni chaguo Lao aidha kuendelea kuongoza na Mungu au Shetani, viongozi wengi wakishapata uongozi shetani hueadanganya kuwa yeye ndio Kawa weka kwasababu wengi wao aliibiwa kura ndio wawe hapo, na hivyo huku Ali kumtumikia shetani ktk nafasi zao,.. Unakuta maamuzi yao yaupendeleo, tumbo na ma chawa ndio kipaumbele na sio watu wote hongo au rushwa ktk biashara za nchi nk. ndipo pale unaona mauzauza na wakati mwingine tunamlaumu Mungu, kwahiyo maombi ni silaha kwamba kama mtu huyo hatojirudi na kufuata haki basi Mungu atuamulie tu... Hivyo tuendelee kuomba lipo jibu mbele.
Hiyo maana naijua, ila huwezi kunidanganya kuwa huyo dogo anapatanisha watu na Mungu huduma hiyo ilikamilishwa na Yesu wala hakuna kuhani wa kutupatanisha na Mungu isipokuwa Yesu Kristo mwenyewe.Ifahamu maana ya Kuhani..
Ni mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu...
Hawalipagi kodi hao japo huwa wanaingiza mapato mengi kuliko hata Kanji BhaiKweli hawa wahubiri huwa wanalipa kodi ya mapato kweli?
Ameni ni Mama yetu ni wajibu wetu kumuombea ila pana kundi la vijana la Tozo ni balaa hilo..Ndio wajibu wetu sote kwa sasa
Mungu akubariki
Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna maombi.......
Alikuwepo Magufuli pale lakini Mungu alimchukua kama alivyokuwa anasema mwenyewe; akamwacha huyu mama, sasa ulitaka ukae wewe!?
Tujifunze kuwaombea viongozi wetu, tuwasupport! Hakuna mtu anayekusudia kufanya mabaya na hakuna mtu ambaye anataka amalize vibaya aache historia mbaya popote pale
View attachment 2691266
Tumsupport Rais na tumuombee sana
kuhani musa hata ukimsikiliza, ni pure agent wa kuzimu. kwenye haya makanisa ukiona kuna mpambe pembeni wa kupambisha mahubiri yako, kwanza weka question mark. wanaomjua huyo na mazao wa yule nabii wa uongo yesu wa mkombo aliyetokea congo ambaye alifukuzwa nchini Tanzania. nawaonea huruma wanaohudhuria kwenye lile pagale wanaloita kanisa.Sawa sawa. Hata Yesu aliambiwa anamtumia belizebuli🤣
Wewe unahudumiwa na nani zaidi ya shetani anayepigwa sawasawa na Yesu wetu
Wivu tuu🙄🙄
Na wewe ingia uingize mapato kuliko Kanji Bhai
Ila wewe mama nina mashaka nawe.Wapi nimemjibu ufedhuli!?
Mbona husemi yeye ndio kaongea ufedhuli🤣