Huyo sio dogo ni mpakwa mafuta wa Bwana, unapata wapi nguvu za kushindana na wapakwa mafuta wake?Hiyo maana naijua, ila huwezi kunidanganya kuwa huyo dogo anapatanisha watu na Mungu huduma hiyo ilikamilishwa na Yesu wala hakuna kuhani wa kutupatanisha na Mungu isipokuwa Yesu Kristo mwenyewe.
kuhani musa hata ukimsikiliza, ni pure agent wa kuzimu. kwenye haya makanisa ukiona kuna mpambe pembeni wa kupambisha mahubiri yako, kwanza weka question mark. wanaomjua huyo na mazao wa yule nabii wa uongo yesu wa mkombo aliyetokea congo ambaye alifukuzwa nchini Tanzania. nawaonea huruma wanaohudhuria kwenye lile pagale wanaloita kanisa.
Katiba ndiyo imemfanya yeye kuwepo apo maswala ya kumhusisha Mungu kwenye vitu visivyoeleweka acheni
Kama mungu yupo naye shetani yupo vilevile
Kama ambavyo mnavyosema mungu anaongoza mtu, nae shetani anawatu wake anawaongoza
Swali ni je tutajuaje huyu anaongozwa na shetani na huyu ni anaongoza na mungu ikiwa kila uzuri una ubaya ndani yake?
Ni kweli kabisa ila tunaweza kuendelea kutiliana mashaka kwa amani tu 😂Wewe mwenyewe ni mashaka sasa tutegemee uwe na nini zaidi ya hayo mashaka🙄🤔
Kwa wao teknolojia ni Mungu wao, ni kama mababu wa Kiafrika walivoabudu miti na mizimu.Lakini sio Mungu ni teknologia
Kuitii mamlaka sawa, lakini si mamlaka kuwatesa watu, unamkbuka mfalme Sauli aliwekwa na Mungu je alipokengeuka Mungu alimfanyaje! Mungu hana hajaribiwi kwa kusumbua watu wake.Katiba ya Mungu inamwambia yeye aitii mamlaka na kuombea wakuu wa nchi. Hata wewe unatakiwa kufanya hivyo
Warumi 13:1-2
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
Yesu kristo?na babake ni Mungu mbigi.Shetani ni mungu na yeye huyo shetani anamtii Mungu mkuu Yesu Kristo
Na zumaridiSasa yule Musa ukuhani kapewa na nani?
✍️
Kumbe na wewe ni kuhani wa Jf.Lol
Hasira zote hizi ni za nini?
Lakini sikushangai maana hata wakati ule wayahudi walisema hakuna jambo jema laweza kutoka Nazareti, kama tuu Wewe unavyosema hakuna jambo jema linaloweza kutoka Africa tena Tanzania. Muda sio mwingi utaona, utasikia na utaelewa
Yohana 1:46
Nathanaeli akamwambia, Laweza neno jema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.
Anataka Left swing Kama Medeniliwahi kusema kuwa katika wanawake wasiojitambua na wajinga JF wewe ndo kiboko.
Nikajua ni hilo tu sasa hap umenithibitishia kuwa wewe ni zombie na zombie haswa.
Wewe na huyo Kuhani mpka chumvi ya upako ni wapumbavu sawA???
Ndio maana wanasifu ili wasitozwe kodi, kama sio kufutiwa kibali cha hudumaHawalipagi kodi hao japo huwa wanaingiza mapato mengi kuliko hata Kanji Bhai
Ngoja nitafute nguvu ya kuwaangusha watu kwanza; huwa inapatikana wapi?Unaonaje, ukihamia huku utaweza!?
Hebu andaa proposal uingie kazini
Tena mchongo hasa hasaIna maana kuhani hajui kuwa shetani naye ni Mungu?
Ingefaa pia huyo jamaa akiweka wazi ni nani aliyempa ukuhani maana anadhani anatumika kama mtiwa mafuta kumbe ni mtia mafuta wa mchongo.