Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Huyo sio dogo ni mpakwa mafuta wa Bwana, unapata wapi nguvu za kushindana na wapakwa mafuta wake?Hiyo maana naijua, ila huwezi kunidanganya kuwa huyo dogo anapatanisha watu na Mungu huduma hiyo ilikamilishwa na Yesu wala hakuna kuhani wa kutupatanisha na Mungu isipokuwa Yesu Kristo mwenyewe.