Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

Hiyo maana naijua, ila huwezi kunidanganya kuwa huyo dogo anapatanisha watu na Mungu huduma hiyo ilikamilishwa na Yesu wala hakuna kuhani wa kutupatanisha na Mungu isipokuwa Yesu Kristo mwenyewe.
Huyo sio dogo ni mpakwa mafuta wa Bwana, unapata wapi nguvu za kushindana na wapakwa mafuta wake?
 
Katiba ndiyo imemfanya yeye kuwepo apo maswala ya kumhusisha Mungu kwenye vitu visivyoeleweka acheni
 
kuhani musa hata ukimsikiliza, ni pure agent wa kuzimu. kwenye haya makanisa ukiona kuna mpambe pembeni wa kupambisha mahubiri yako, kwanza weka question mark. wanaomjua huyo na mazao wa yule nabii wa uongo yesu wa mkombo aliyetokea congo ambaye alifukuzwa nchini Tanzania. nawaonea huruma wanaohudhuria kwenye lile pagale wanaloita kanisa.

Hahahaaa kuzimu ndio wewe unayelalamika
Kakupiga eeeeeh😆😆😆😆😆
 
Katiba ndiyo imemfanya yeye kuwepo apo maswala ya kumhusisha Mungu kwenye vitu visivyoeleweka acheni

Katiba ya Mungu inamwambia yeye aitii mamlaka na kuombea wakuu wa nchi. Hata wewe unatakiwa kufanya hivyo

Warumi 13:1-2
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
 
Kama mungu yupo naye shetani yupo vilevile

Kama ambavyo mnavyosema mungu anaongoza mtu, nae shetani anawatu wake anawaongoza

Swali ni je tutajuaje huyu anaongozwa na shetani na huyu ni anaongoza na mungu ikiwa kila uzuri una ubaya ndani yake?

Kajifunze Mungu anachokisema kupitia maandiko ndio utapata majibu ya maswali yako
 
Katiba ya Mungu inamwambia yeye aitii mamlaka na kuombea wakuu wa nchi. Hata wewe unatakiwa kufanya hivyo

Warumi 13:1-2
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
Kuitii mamlaka sawa, lakini si mamlaka kuwatesa watu, unamkbuka mfalme Sauli aliwekwa na Mungu je alipokengeuka Mungu alimfanyaje! Mungu hana hajaribiwi kwa kusumbua watu wake.
 
Lol
Hasira zote hizi ni za nini?
Lakini sikushangai maana hata wakati ule wayahudi walisema hakuna jambo jema laweza kutoka Nazareti, kama tuu Wewe unavyosema hakuna jambo jema linaloweza kutoka Africa tena Tanzania. Muda sio mwingi utaona, utasikia na utaelewa

Yohana 1:46
Nathanaeli akamwambia, Laweza neno jema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.
Kumbe na wewe ni kuhani wa Jf.
 
niliwahi kusema kuwa katika wanawake wasiojitambua na wajinga JF wewe ndo kiboko.

Nikajua ni hilo tu sasa hap umenithibitishia kuwa wewe ni zombie na zombie haswa.

Wewe na huyo Kuhani mpka chumvi ya upako ni wapumbavu sawA???
Anataka Left swing Kama Mede
 
Kuitii mamlaka sawa, lakini si mamlaka kuwatesa watu, unamkbuka mfalme Sauli aliwekwa na Mungu je alipokengeuka Mungu alimfanyaje! Mungu hana hajaribiwi kwa kusumbua watu wake.

Tii mamlaka with no conditions
 
Back
Top Bottom