Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Acha kuingiza haya maneno ili kutetea usichokielewa kwa ukuhani wa Musa.Watu wangu wameangamia kwa kutonijua, maana wewe kuhani umekataa mafundisho. Nimekukataa kuwa kuhani wangu. Kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, nami pia nitawasahau watoto wako.
Kuna ukuhani wa kifalme uzao mteule ambao ni kama sifa na sio cheo cha kiongozi wa huduma. Kila aliyempokea Yesu Kristo amefanyika kuwa mwana kuhani wa kifalme aliyeteuliwa na Yesu mwenyewe.