Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa aliacha std 4 je! uliendelea kumfuatilia kujua historia yake baada ya hpo je km alihamia mkoa mwingne na kuendelea na masomoHuyu niliona interview yake clouds TV akisema eti alikuwa anafanya kazi Bank huko Arusha wakati aliacha shule std 4
Huyu niliona interview yake clouds TV akisema eti alikuwa anafanya kazi Bank huko Arusha wakati aliacha shule std 4
Asante sana mama D kwa uzi huu, wewe ni baraka, Kuhani Musa ni mtumishi wa Mungu wa kweli!. Mimii pia ni mwana Ngomeni!, bila kuhama kwenye dhehebu langu la asili, from time to time huwa najumuika pale Ngome ya Yesu, Kimara Temboni.Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna maombi.......
Alikuwepo Magufuli pale lakini Mungu alimchukua kama alivyokuwa anasema mwenyewe; akamwacha huyu mama, sasa ulitaka ukae wewe!?
Tujifunze kuwaombea viongozi wetu, tuwasupport! Hakuna mtu anayekusudia kufanya mabaya na hakuna mtu ambaye anataka amalize vibaya aache historia mbaya popote pale
View attachment 2691266
Tumsupport Rais na tumuombee sana