Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Sasa kama mume hajazi madikodiko stoo na kwenye friji si heri amechagua jambo jema!?

Raha ya mume awe mtafutaji, aweze kumuongoza mke wake kwa upendo na awe mkali kidogo ila asipige
😂😂😂haujaweka makazi kwa kuhani kweli.......
 
Kuna ambayo ni special kwa ajili ya kuona wachawi na wanga, unapaka machoni🤣🤣🤣

Huu nao ni aina ya uganga sasa
Tayapataje nataka nipake nimuone Kanumba nasikia yupo dar anaokena na anatuona Ili sisi hatumuoni.
 
Kwa waganga mbona mnatoa hadi mbuzi na kondoo?
Mbona mnapindua mada? Mungu alimchaji nani katika uhitaji wake? Mnajisingizia huduma eti. Huduma gani? Ya kanisa? Mbona ni mamilioni ma hatuoni mkitoa huduma z akijamii kama mashule, hospitali etc? Kumtajirisha nabii ananunua mahammer tu. Mara maghorofaaa etc.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Matapeli hao
 
Huyu mleta uzi nae ndio walewale tu jamaa wana network kubwa sana Cha msingi mimi kama mimi I believe in my ancestors na Mungu kutokana na Imani yangu ila hizi mambo za miujiza kutoka kwa hawa vijana kiukweli siwakubali na niseme tu wazi siwapedi wanatapeli mnooo hasa dada na mama zetu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndie aliyemchukua Kanumba na ajali ya moto Morogoro
 






mama kubwa ukuje huku utuelezee kwa uzuri.

miss pablo ningekua na namba yake ningemsalimia nimueleze kile watumishi wake walikufanya wewe na mama.

Hilo la kumuona namsubiria mama kubwa atupe ka utaratibu alikotumia yeye hadi kupona
 


Uzi una comments 276, pamoja na kuweka wale walioshuhudia kupona na kufufuka hakuna mwenye aliyetoa proof ya utapeli wa huyu Musa

Bado nasubiri lakini
 
mama kubwa ukuje huku utuelezee kwa uzuri.

miss pablo ningekua na namba yake ningemsalimia nimueleze kile watumishi wake walikufanya wewe na mama.

Hilo la kumuona namsubiria mama kubwa atupe ka utaratibu alikotumia yeye hadi kupona
Wow... thats the difference... umenijibu vizuri sana sana mpaka moyo wangu umepoa[emoji3059][emoji3059] barikiwa sana. Na nilishakuambia nakupenda msheku wangu muda kidogo... hoping pia huo ndo utaratibu uliopo pale.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Au una gawio huko?

Sina chochote huko sio gawio tuu sina nafasi wala share

Nasikitika pamoja na kuweka wale walioshuhudia kupona na kufufuka hakuna mwenye aliyetoa proof ya utapeli wa huyu Musa.
Badala yake wengi wamenigeukia mimi kama wewe unavyoniwazia na swali langu kwamba Kuhani Musa ni nani halijajibibiwa
 
Mamlaka inabidi kuthibitisha hayo yanayotokea, lasivyo watu watapoteza uelekeo
 

Nimeuliza mtu mwingine ananiambia Musa anasisitiza watu wahudhurie ibada na maombi, wajifunze neno waishi kwa utakatifu Mungu atawakaribia. Hilo la kumwona mmoja mmoja yeye ndio huwa anakuambia, na akikuita hahitaji chochote. Sijathibitsha ila ameniambia nikitaka kuthibitisha nifuatilie ibada zake Youtube

Pole kwa kukutana na wasaidizi waliokuchosha nafsi
 
Mamlaka inabidi kuthibitisha hayo yanayotokea, lasivyo watu watapoteza uelekeo

Sasa umezungumza neno
Na hapo sio kwamba mamlaka iingilie uhuru wa kuabudu, hapana!
Mamlaka ituambie wale tuliothibitishiwa wamekufa kitabibu, tukapata vibali vya kuwazika kiserikali na kiibada wamerudi aje? Kusema ni utapeli bila proof ilhali yeye kathibitisha wamerudi sisi ndio tunaonekana waongowaongo na matapelu
 
Asanteee mamy. Barikiwa sana. Notasimama kiimani vyema[emoji120]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kutana Tausi wa Bongomovie na mwanae kwa Kuhani Musa.

Wana Dar es salaam wajulieni hali kina Faiza, Bibi Nyaulingo, Mama Zuu na Mama Jack



Your browser is not able to display this video.



Majirani msisahau kumkumbusha faiza akabidhishe ile pete na mikufu kwa usalama wake

Viongozi wa ulinzi na usalama wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania mmesikia kina faiza wana mpango gani na rais wetu? Kama Rais hayuko salama na nyie hamko salama. Hili swala la nguvu za giza mliangalie kwa sura nyingine sasa😎😎
 
Watoto wanne(4) wa familia moja waliokufa mwaka jana kwa miezi tofautitofauti kuanzia mwezi September hadi December wafufuka.

Habari ya YUSUFU IBRAHIM MUSA kwa ufupi
Bwana YUSUFU IBRAHIM MUSA ambae ni mwenyeji wa Kigoma anaeleza kwamba miaka mitatu iliyopita alikua mzima wa afya yeye, mke wake na watoto wake wote wa4.
Lakini kipindi hichohicho mke wake alifariki ghafla, na alikua na rafiki yake aliyetoka musoma na mkewe kwenda kigoma kumzika mke wa YUSUFU IBRAHIM MUSA. Wakiwa bado pale msibani, mke wa huyo rafiki yake alikufa palepale kwa ghafla. Ndipo YUSUFU akatakiwa kusafirisha msiba hadi musoma na kuzika. Baada ya mazishi wakiwa kwenye gari binafsi kurudi kigoma ndipo alipata ajali na kulazwa Bugando hospitali kwa miezi 20.

Anasema baada ya miezi 20 kuwa hospitali alipata nafuu sehemu zingine lakini mguu uliendelea kumpa shida na madaktari wakamshauri waukate maana hapakua na uwezekano wa kutibika. Akiwa anasubiri tarehe ya kukatwa mguu alipita mtu alimuuliza kama anaamini kwenye matumizi ya vifaa vitakatifu(maji na mafuta). YUSUFU alikubali na alipotumia tuu mguu ulipona na akaruhusiwa kutoka hospitali.


KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NI NANI??
 
Inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…