Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

sorry kama nimeingilia uzi usionihusu mkuu kuwa na amani
 
Mpaka sasa ni bla bla ndo zimejaa.. Hawa watu wanashuhudia kwenye TV ambazo kila mtu anaweza kuona na wanajulikana maana wanakaa nasi huku mitaani, na hakuna mtu aliyewahi kujitokeza na kusema kuwa kuna USHUHUDA wa uongo... Kuna machizi wa miaka tele wamepona, kuna wenye magonjwa sugu kama kansa wamepona achana na hao waliofufuliwa kutoka kuwa misukule...

Ile ishu ya PASTOR LUKAU na UFUFUO FEKI iligundulika maana ndugu na majirani waliongea. Kama hapa juzi ishu ya SPIKA NDUGAI kuna yule anayejiita NABII BILIONEA SHILLAH alitaka kudanganya watu kuwa alishawahi kupost kwenye ISTAGRAM kuhusu kumtahadharisha kuhusu UBAYA unaoweza kumkuta karibuni, lakini watu walifukua akaunti yake ikaonekana ni uongo ali-edit post yake halafu alisahau ku-delete ile ya zamani.

Sasa mwenye kutaka kutuambia kuwa hizi shuhuda ni za MWAMPOSA na KUHANI MUSA NI uongo uwe na kielelezo siyo kupayuka tu, maana zitasaidia wengine.
 
....``Lakini yakupaswa ufahamu jambo hili, kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari, wamo watakaojiingiza mateka:wakiwamo wanawake wajinga waliolemewa na dhambi zao na kuyumbisiwa na aina zote za tamaa''
2Timotheo 3:1°
 
Uthibitisho utakosekana vipi wakati tunajua MAREHEMU lazima afanyiwe MAZISHI na KABURI liwepo, na watu wahudhurie?.. Kwani walijizika wenyewe?..
Huko hospitali si kuna vielelezo pia vya hawa MAREHEMU kupokelewa?..
Shule walizokuwa wanasoma si kuna waalimu na wanafunzi pia ambao wana taarifa za KUUGUA na VIFO pia?..
Mnaodai kuwa huu ni UONGO mtudhihirishie huu UONGO basi, maana zama hizi kwa teknolojia iliyopo kugundua UPOTOSHAJI huo mnaoudai ni rahisi tu...

Naona siku hizi kuna TV nyingi za YouTube nazo zinaongelea haya mambo ila nashangaa wanajiita WAANDISHI WA HABARI wakati wanashindwa kuja na taarifa za KIUCHUNGUZI ili kuanika huo UONGO mnaoudai, nao wanabaki upiga blah blah tu...
 
Watu makini wana mambo mengi ya kufanya, hawana muda wa kujikita kufuatilia upupu na utapeli wenu.
 
Nchi ina wapuuzi wengi sana kuna limoja linawakanyagisha watu mafuta ya alizeti na linapiga hela kwa kwenda mbele yaani , nchi hii ukiwa msanii kidogo tu utaishi maisha mazuri sana , kimsingi dini ni biashara nzuri sana hasa ukijua kupiga perepete za kisanii
 
Siku zote wanawake mna mioyo myepesi sana! Ni wepesi wa kuamini! Ukiangalia wahudhuriaji wengi kwenye hiyo mikutano, lazima utakuta ni wanawake!

Hivyo endeleeni kupigwa. Maana hakuna namna.

Kabisa Tate Mkuu
Tusingekua na mioyo myepesi mngeteseka sanaaa😂😂😂😂
 
Wizi mtupu. Eti unabii ...wakati ni wizi wa mali za wajinga. JK had a point the other day about kikombe cha babu.
 
Ww ni mmojawapo wa mambumbu tunaowazungumzia hapa,mweshikwa akili na huyo pan'gan'gaa basi hata mkiambiwa huko siko mnaibiwa hamtaki kukubali,endeleeni kuibiwa
 
Umeandika upupu tuu[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
hili kanisa lilianza kama msihara ubungo,likahamia sinza kisha mwenge ndo nashangaa sahizi linawatu wengi
 
Kama watu wote wangejua hiki unachokisema Hawa manabii wangefunga huduma.

Tatizo watu siku hizi wanapenda miujiza na kutabiriwa Kama wayahudi wa wakati wa Yesu
wengine walimfuata yesu kwa ajili ya kula mikate
 
Kama mwanadamu ni zaid ya ushemeji mbona Tundu Lissu alipopigwa risasi ulishangilia kama vile hakuwa binadamu

Acha wehu weweee
Uliniona wapi nikishangilia kama sio umbea na uzushi
Mxiuuuuuuu
 

Muongo na mzushi hawana ushahidi
Na kuliko hizo blahblah heri wanyamaze wasubiri wenye kujua waandike
 

Ukitaka na wewe usiitwe mpuuzi mkuu njoo na proof ya usanii unaousema na hayo mafuta ya alizeti

Au na wewe piga perepete maana biashara umekuvutia hiyo
 
Ww ni mmojawapo wa mambumbu tunaowazungumzia hapa,mweshikwa akili na huyo pan'gan'gaa basi hata mkiambiwa huko siko mnaibiwa hamtaki kukubali,endeleeni kuibiwa
Yawezekana mimi naibiwa na kweli ni mbumbumbu, ila hilo linahitaji wewe uje na ushahidi wa kuonyesha UMBUMBUMBU wangu, na kama huwezi hilo basi naona wewe ndo THE BIGGEST MBUMBUMBU unayezungumza usichokijua....
 
Ukitaka na wewe usiitwe mpuuzi mkuu njoo na proof ya usanii unaousema na hayo mafuta ya alizeti

Au na wewe piga perepete maana biashara umekuvutia hiyo
Nachoshangaa badala ya kuja na USHAHIDI japo mmoja wa USHUHUDA FEKI wa KUHANI MUSA au MWAMPOSA tuone wao walivyo wajanja na sisi ni wajinga tunaibiwa, wanaishiwa kutuo mapovu tu. Wengine wanajiita watu WAKINI, wengine wanaishia kunitukana lakini hatoi ushahidi wowote...

Kwanini huu UJINGA wetu msiuanike hadharani kwa VIELELEZO maana hizi shuhuda nazo zinatolewa hadharani kwenye TV zenu????

Muflis wa HOJA hu-attack mtoa-HOJA badala ya HOJA iliyo mezani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…