Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga zaidi yako ni nani hapa. Ungeenda hospitali kuwauliza ukarudi na majibu ningekuheshimu walau kidogo. Ila kwa jibu la blahblah nimekudharau
View attachment 2147009
Maana Benjamin Mkapa hospital walishindwa wakamtuma mgonjwa Muhimbili. Muhimbili wakaamua wamng'oe jicho, Kuhani Musa akaomba, Mgonjwa akapona
Sio kila miujiza ni ya kuhusishwa na Mungu!Ndio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje
Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
Sio kila miujiza ni ya kuhusishwa na Mungu!
Hakuna jipya! Hiyo ni ile miujiza ambayo huyo Musa alifundishwa na 'baba yake' Mkombo aliyekuwa akidai kuwa alimwokota jalaalni huko Arusha. Ni ile miujiza inayotengenezwa kisangoma, isiyo kuwa na uhusiano wowote na jina la Mungu. Mtu yeyote aliyeshiba neno la Mungu hawezi kuona injili Kimara Temboni! Huko ni kwa ajili ya watu wanaotafuta uponyaji wa hapo kwa hapo unaopatikana kwa masangoma! Huyo Musa anajulikana tangu akiwa Boko Magengi alipokuwa akitumwa na 'baba yake' Mkombo kwenda kuchimba au kuibua hirizi na madude ya ajabu kwenye majumba ya watu wakiwadanganya kuwa wamerogwa na kutupiwa vitu vya kichawi ili waweze kuwakamua vizuri!Hilo liko wazi
Ila wewe unatueleza nini kuhusu hii miujiza inayofanyika na Kuhani Musa Richard Mwacha kwa jina la Yesu Kristo aliye hai?
View attachment 2170977
Kama hivi huyu hapa
Au tukawaulize muhimbili na Benjamin Mkapa hospital 😎
Hakuna jipya! Hiyo ni ile miujiza ambayo huyo Musa alifundishwa na 'baba yake' Mkombo aliyekuwa akidai kuwa alimwokota jalaalni huko Arusha. Ni ile miujiza inayotengenezwa kisangoma, isiyo kuwa na uhusiano wowote na jina la Mungu. Mtu yeyote aliyeshiba neno la Mungu hawezi kuona injili Kimara Temboni! Huko ni kwa ajili ya watu wanaotafuta uponyaji wa hapo kwa hapo unaopatikana kwa masangoma! Huyo Musa anajulikana tangu akiwa Boko Magengi alipokuwa akitumwa na 'baba yake' Mkombo kwenda kuchimba au kuibua hirizi na madude ya ajabu kwenye majumba ya watu wakiwadanganya kuwa wamerogwa na kutupiwa vitu vya kichawi ili waweze kuwakamua vizuri!
Duh kwahy unaziamini hizi hadithi za ibuniwasiHilo liko wazi
Ila wewe unatueleza nini kuhusu hii miujiza inayofanyika na Kuhani Musa Richard Mwacha kwa jina la Yesu Kristo aliye hai?
View attachment 2170977
Kama hivi huyu hapa
Au tukawaulize muhimbili na Benjamin Mkapa hospital 😎
Wewe humpati mtu,tumekustukia unampigia promo basha wako awafanyie watu utapeli wenuKwasababu umeshindwa kunithibitishia kwamba ni hadithi za ibuniwasi
Kuzuia huo udanganyifu ni pamoja na kukuambia ukweli wewe uliyertumwa na ibilisi kupigia debe mafundisho ya kuuawa watu kiroho. Injili ya Yesu iko wazi kwenye maandiko matakatifu. Hiyo injili yenu unayoieneza hapa wala sio injili ya ufalme, ni ile injili nyingine ya kupeleka watu upotevuni! Msaada hauwezi kutolewa kupitia injili isiyo yenyewe. Mnapoteza watu kama waganga wa kienyeji wanavyopoteza watu!Kama ni miujiza ya kisangoma, fanya basi uikomeshe ili uwasaidiea wengine
Kama unaongea tuu bila kuthibitisha huo usangoma unaoneka mtu mmbea na mwenye chuki
Na kama unaona kuna udanganyifu na huwezi kutoa msaada ili kuzuia huo udanganyifu unaonekana kuongozwa na roho chafu za machafuko na wewe ni mfitini tena mwenye wivu
Uthibitisho kwamba nyie ni matapeli uko kwenye maandiko matakatifu. Yote mnayoyaeneza huko yako nje ya maandiko. Hayo mashuhuda mnayowadanya watu hata kwa waganga wa kienyeji yanapatikana!Kwasababu umeshindwa kunithibitishia kwamba ni hadithi za ibuniwasi
Niite nije nikufanyie promo na wewe ufaidike stress zako na hasira zikuishe[emoji28][emoji28][emoji28]