Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Sanaa za kujipatia Pesa na bongo za wajinga kugeuza mandondocha
 
Fanya mpango tuchukue wagonjwa 10 pale ocean road tumpelekee halafu ndio turudi hapa kufunga mjadala
Ndugu acha kujilisha UJINGA hakuna hii kitu ndio maana hao mnaowaita manabii wanabungua bongo zenu wanawafanya misukule
 
Sijawahi kumfuatilia
Ngoja nitaanza kusikiliza mahubiri yake nimsikie!
 
Ndugu acha kujilisha UJINGA hakuna hii kitu ndio maana hao mnaowaita manabii wanabungua bongo zenu wanawafanya misukule

Kati ya mimi ninayetaka tupeleke wagonjwa na wewe unaeongea bila nani anaejilisha ujingaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hata mimi sipo dar ila haikatazi kufanya reasearch maana hata sample juu kwenye uzi sio wa dar pekee. Wapo wa mikoani na nje ya Tanzania pia
 
Fanya utuletee na mc pilipili na masanja nae tumjue kiundani
 
Uchunguzi wako unaweza kushare?
 
Mil 10?[emoji848][emoji125]
Ila wale ambao ni fake nachojua mara nyingi huwa wanakuja na vitu vyao kwenye mfuko ,wakifika kwako wanavidondosha ndo wanajifanya wamevitoa[emoji16]
 
Kati ya mimi ninayetaka tupeleke wagonjwa na wewe unaeongea bila nani anaejilisha ujinga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
......ha ha nyie wamama tangu Nyoka alivyowakomesha pale Edeni mpaka leo hamjazinduka poleni bahati nzuri mke wangu hana huu UPUMBAVU maana pasingetosha.....
 
......ha ha nyie wamama tangu Nyoka alivyowakomesha pale Edeni mpaka leo hamjazinduka poleni bahati nzuri mke wangu hana huu UPUMBAVU maana pasingetosha.....

Hii maada inahitaji mjadala elimisha sio kusema mimi inanihusu au hainihusu....
Tujibu swali bila povu, Kuhani Musa ni nani?
 
Mimi naamini kuna kuponywa na kufufuliwa kwa mtu/watu ikiwa anayeomba anamwamini Mungu na Mungu amempa karama ya uponyaji.

Walishafufuka wengi kabla na baada ya kuja Yesu Kristo.
 
jamii inapenda miujiza, hata wewe Mama D ukiwa unaweza kufanya miujiza lazima tuje tujae... il ukianzisha kanisa ukawaambia waumini fact kama ili uwe tajiri fanya kazi kwa bidii na muombe Mungu.. utajikuta peke yako kanisani..
 
Siku nilipomsikia shuhuda aliyekuwa akiongozwa naye aliposema Qnet ni Freemason nikacheka Sana.

Alafu wakamzuia Yule shuhuda asiseme hivyo Vyama vya watu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Bro wangu alichajiwa laki consultation fee kuonana na kuhani tulibishana sana ila mke wa bro ana iman kali ile kilo ililipwa
USSR umesikiliza hizo clips?
 
Hii maada inahitaji mjadala elimisha sio kusema mimi inanihusu au hainihusu....
Tujibu swali bila povu, Kuhani Musa ni nani?
Nihivi hakuna Mtumishi pale ni wasaka noti tu.....labda kama umepewa cheo cha marketing officer huko umekuja humu kusaka wateja sioni mwenye akili timamu anaesoma bible mwenyewe akiamini huo ujinga ni nyakati hizi tu hakuna mazingaombwe Ila nyakati hizo mazingaombwe mashuleni ilikuwa kawaida tu....nasema sababu watu wanatoka huko kwenye viota mnaita makanisa wanakuja tunakoabudu wana confess yanayotendwa huko!
 
Mimi naamini kuna kuponywa na kufufuliwa kwa mtu/watu ikiwa anayeomba anamwamini Mungu na Mungu amempa karama ya uponyaji.

Walishafufuka wengi kabla na baada ya kuja Yesu Kristo.
Natamani kusikia kama naww ni mmoja wa waliokufa ukafufuliwa vinginevyo ni maigizo yakawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…