Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Ndio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje

Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
mamad 3/4 ya mahubiri yake ni vita yake na wachawi na majini, kwa kutumia vifungu vya kuogofya toka agano la kale na ufunuo
Kwa sisi tulio kuwa naye Arusha kabla ya fani yake ya Sasa tunakumbuka aliwahi kupata matatizo ya afya ya akili na alipopata ahueni alidai alirogwa kwa kutupiwa jini
Kingine Google falsafa ya Freemansory ulinganishe na vita yake akitumia maskini tena wengine wa kike wakijiita ma malkia wa Freemasons
Cha kusikitisha anatumia watoto wadogo kudai wanaua mpaka watu mia na kula nyama za maiti ( upuuzi mtupu)
 
Huyo mzee kwa video ya kwanza namjua nilimuona anatembea kwa kuchechemea nikajua tu alipigwa na stroke ila kuhusu kupigwa stroke miaka 20 sio kweli, sijajua kwanini amesema taarifa isiyo sahihi ilihali yeye anaka umaarufu flani hapa jotoni
Mwaka 2009, tulikua nae kwa huduma ya Pastor Chris pale Mwenge zamani Silent inn na yeye huyu mshua ndio akiwa mmiliki wa wa huo ukumbi alikua anatembelea very expensive ranted cars ukijumlisha na muonekano wake wakidon alikua anakula suti matata sana na travolta flan hivi kwa ufupi huyu mzee sio kolo, nikaja kupata taarifa kwamba mzee zile ndinga alikua anakodi alaf bills anazirengesha kwa kanisa ambapo na yeye akiwa ni mchungaji lakin ile venue pia ilikua inalipiwa 2000,000 per week ulitokea mgogoro baina yake na kanisa, kanisa sijui liliendaga wapi after that pia mshua alikua na issues lile eneo lilipigwa pin na mahakama kwa muda mrefu sana nadhani issue ya madeni na saivi nimeona liko na umiliki wa mtu mwingine. Nikipiga hesabu zangu za 2008 na 2022 sipati miaka 20 ambayo mzee amesema alikua hoi kitandani
 
Soma maelezo ya niliyemquote.

Anasema alipokelewa akitokea congo,

Au hutaki kuamini kuwa katokea huko??

Aliyetokea DRC ni Mulilege Mukombo, ambaye ameelezewa kuwa ndiye alikuwa Mlezi na Mwalimu wa kiroho wa Mussa Mwacha.
 
Mimi naamini kuna kuponywa na kufufuliwa kwa mtu/watu ikiwa anayeomba anamwamini Mungu na Mungu amempa karama ya uponyaji.

Walishafufuka wengi kabla na baada ya kuja Yesu Kristo.

Nimekuelewa sana
 
mamad 3/4 ya mahubiri yake ni vita yake na wachawi na majini, kwa kutumia vifungu vya kuogofya toka agano la kale na ufunuo
Kwa sisi tulio kuwa naye Arusha kabla ya fani yake ya Sasa tunakumbuka aliwahi kupata matatizo ya afya ya akili na alipopata ahueni alidai alirogwa kwa kutupiwa jini
Kingine Google falsafa ya Freemansory ulinganishe na vita yake akitumia maskini tena wengine wa kike wakijiita ma malkia wa Freemasons
Cha kusikitisha anatumia watoto wadogo kudai wanaua mpaka watu mia na kula nyama za maiti ( upuuzi mtupu)

Babu Ochu mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.

Tunafanyaje kupitia hao kuuhakikishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema? Nadhani hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa
 
Povu la nini!? Watu wako hapo na maeneo wanayotoka yapo... badala ya kuja na jazba na blahblah tuje na hoja za kuonyesha hayo mambo hayawezekani kama unavyoona
Mama D mambo haya mbona rahisi? System imeamua kutengeneza stori ili kudivert mambo ya SSH kukutana na Lisu Belgium na tension ya watanzania kuambiwa Mbowe ana kesi ya kujibu. Vinginevo hiyo kitu sijui nani amefufuka Hamnaga. Watu wamepangwa kuongea kutengeneza matukio. Kwanini huyo nabii stori zichachame kipindi hiki kwenye matelevision?
 
Mimi nimepona kupitia maombezi na mahubiri yake na sijachargiwa hata senti. Issue hii Iko kiimani zaidi na cha muhimu wenye shida wanaenda wenyewe. Kama utaniita mjinga Kwa kuwa nimeenda Kwa Kuhani Mussa haina shida.Sijavunja Sheria yoyote ya Nchi na hayajakufika.
 
mamad 3/4 ya mahubiri yake ni vita yake na wachawi na majini, kwa kutumia vifungu vya kuogofya toka agano la kale na ufunuo
Kwa sisi tulio kuwa naye Arusha kabla ya fani yake ya Sasa tunakumbuka aliwahi kupata matatizo ya afya ya akili na alipopata ahueni alidai alirogwa kwa kutupiwa jini
Kingine Google falsafa ya Freemansory ulinganishe na vita yake akitumia maskini tena wengine wa kike wakijiita ma malkia wa Freemasons
Cha kusikitisha anatumia watoto wadogo kudai wanaua mpaka watu mia na kula nyama za maiti ( upuuzi mtupu)
Hivi age yake ni miaka mingapi?
 
Mimi nimepona kupitia maombezi na mahubiri yake na sijachargiwa hata senti. Issue hii Iko kiimani zaidi na cha muhimu wenye shida wanaenda wenyewe. Kama utaniita mjinga Kwa kuwa nimeenda Kwa Kuhani Mussa haina shida.Sijavunja Sheria yoyote ya Nchi na hayajakufika.
Acheni kudhani watu wote wapumbav
 
Mitazamo yetu inawezekana inatofautiana kwenye haya masuala ya kiimani, binafsi napenda zaidi kumtafuta na kumjua Yesu Kristu kwa njia zangu nikiamini hata kama kuna mahala nakosea ni yeye kupitia roho mtakatifu ndie atakayenisahihisha kwa wakati wake.
ungetumia muda wako kumtafuta Mungu ingependeza.
 
Mama D mambo haya mbona rahisi? System imeamua kutengeneza stori ili kudivert mambo ya SSH kukutana na Lisu Belgium na tension ya watanzania kuambiwa Mbowe ana kesi ya kujibu. Vinginevo hiyo kitu sijui nani amefufuka Hamnaga. Watu wamepangwa kuongea kutengeneza matukio. Kwanini huyo nabii stori zichachame kipindi hiki kwenye matelevision?

System imeamua kutengeneza stori gani ili kudivert mambo ya SSH?
 
Mimi nimepona kupitia maombezi na mahubiri yake na sijachargiwa hata senti. Issue hii Iko kiimani zaidi na cha muhimu wenye shida wanaenda wenyewe. Kama utaniita mjinga Kwa kuwa nimeenda Kwa Kuhani Mussa haina shida.Sijavunja Sheria yoyote ya Nchi na hayajakufika.

Ilikuaje mama kubwa?
Tuambie kidogo inaweza kutufungua ufahamu zaidi
 
mamad 3/4 ya mahubiri yake ni vita yake na wachawi na majini, kwa kutumia vifungu vya kuogofya toka agano la kale na ufunuo
Kwa sisi tulio kuwa naye Arusha kabla ya fani yake ya Sasa tunakumbuka aliwahi kupata matatizo ya afya ya akili na alipopata ahueni alidai alirogwa kwa kutupiwa jini
Kingine Google falsafa ya Freemansory ulinganishe na vita yake akitumia maskini tena wengine wa kike wakijiita ma malkia wa Freemasons
Cha kusikitisha anatumia watoto wadogo kudai wanaua mpaka watu mia na kula nyama za maiti ( upuuzi mtupu)
Kuna binti mmoja hapo kwa huyo anaejiita Kuhani kupitia moja ya video zake zilizo Youtube alidai ni kiongozi mkubwa wa Freemasonry na kwamba alishaua watoto na watu wazima idadi ya malaki (malaki, siyo watu mia!). Na bado mleta mada anahitaji afanyiwe tafiti kwanza ndipo ajiridhishe na utapeli wa watu wa aina hii!
 
Kwahiyo kama amesema aliua malaki utafiti hauhitajiki?
 
Nihivi hakuna Mtumishi pale ni wasaka noti tu.....labda kama umepewa cheo cha marketing officer huko umekuja humu kusaka wateja sioni mwenye akili timamu anaesoma bible mwenyewe akiamini huo ujinga ni nyakati hizi tu hakuna mazingaombwe Ila nyakati hizo mazingaombwe mashuleni ilikuwa kawaida tu....nasema sababu watu wanatoka huko kwenye viota mnaita makanisa wanakuja tunakoabudu wana confess yanayotendwa huko!

Hujajibu hoja za watu wala hujatuambia unachokijua kuhusu huyu mtumishi

Ila umejitahidi kunipa mimi cheo marketing officer. Usisahau kwamba haya mambo ya rohoni hayatendeki kama ya mwilini ndio maana wewe umeongozwa na roho kusema nami nimeongozwa na roho kuuliza. Japo roho zinaweza zisifanane
 
Haya ndio mambo akili yako inayaweza, sio siasa
 
Back
Top Bottom