Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa walijiunga hadharani, wengi wamejiunga huko nyuma ya paziaMtumishi wa Mungu wa Kweli mfano Lwakare na Gwajima kujiunga na ccm tu basi nikajua hawa ni manabii wa uongo.
Imani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu.
Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka michache sasa.
Ukifuatilia ni muda mfupi tangu aanze huduma ila utakutana na mambo mengi sana na kati ya hayo mengi ni style ya mahubiri yake, miujiza na maajabu kwenye ibada zake na idadi kubwa ya waumini alionao ndani ya muda mfupi sana maana miaka 3 au mi4 bado huduma ni changa.
Watu wengi tunajiuliza mengi sana juu ya mtumishi huyu. Wengi wetu hatuamini kama yanayonekana kuotokea ni ya kweli lakini pia wapo wanaoamini ni kweli.
ILA SWALI MOJA LA MSINGI "KUHANI MUSA NI NANI HASWA?
Shuhuda zimetolewa hadharani, na ni shuhuda zinazodhihirisha mambo magumu kufikirika katika hali ya kawaida. Ila hawa walioshuhudia wapo kati yetu, mtaani kwetu hata majumbani kwetu, kigoma, chato, kilimanjaro, sumbawanga, kagera, Dar es salaam mmetisha sana. Wenyeji wa huko mnasemaje kuhusu Kuhani Musa?
Fred William Rwegasira.
View attachment 2123813
Mr Rwegasira ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera, Bukoba kule, Mkazi wa Salasala - Dar es salaam. Na sasa anaishi kimara
Innocent Carol Paulo
View attachment 2123832
Innocent Carol Paulo ni mzaliwa wa Chato. Na mkazi wa Tabata - Dar es salaam
Levina Lyamuya na mdogo wake
View attachment 2123876
Levina ni mwenyeji wa Kilema, Moshi- Kilimanjaro
Malkia
Bwana Yusufu
Yusufu ni mzaliwa na mwenyeji wa kigoma
Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY
Cancer
View attachment 2124268
Baada ya siku2
View attachment 2124312
Nimekuelewa sana. Ufufuo upo na uponyaji upo
Babu Ochu; mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.
Sasa nadhani ili kuuthubitishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema lazima uthibitishe kwamba hizo shuhuda ni za uongo. Hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa
Kuhusu matumizi ya biblia vifungu vya kuogofya vya ufunuo na agano la kale sioni kama vinaogofya kuliko matendo yanayofanyika na wanadamu wa leo, na wala hauna kipande cha maandiko matakatifu kisichotakiwa kutumika
Zaidi ya yote ili neno liweze kuwasaidia watu lazima lihubiriwe kwa nyakati na mazingira waliyomo na wanayoishi
mama D, kwa hiyo huyo malkia wa freemason alishiriki kumwua mkuu wa nchi na sasa ndo alianza kuparanganyisha mihili ya dola kama ilivyoanza kutokea kwa mihimili miwili bado mmoja?
The spiritual world is undefined....
Kuhani Musa hili ni Jukwaa la SiasaImani ni ufunuo wa Mungu kwa mwanadamu; ni ile hali ya akili ya mtu kupokea ukweli uliofunuliwa na Mungu akiambatanisha nafsi yake kwa Mungu.
Kuhani Musa Richard Mwacha amejulikana kama mtumishi wa Mungu mwenye imani kwa Kristo. Na amekua na huduma yake katika jiji la Dar es salaam kwa miaka michache sasa.
Ukifuatilia ni muda mfupi tangu aanze huduma ila utakutana na mambo mengi sana na kati ya hayo mengi ni style ya mahubiri yake, miujiza na maajabu kwenye ibada zake na idadi kubwa ya waumini alionao ndani ya muda mfupi sana maana miaka 3 au mi4 bado huduma ni changa.
Watu wengi tunajiuliza mengi sana juu ya mtumishi huyu. Wengi wetu hatuamini kama yanayonekana kuotokea ni ya kweli lakini pia wapo wanaoamini ni kweli.
ILA SWALI MOJA LA MSINGI "KUHANI MUSA NI NANI HASWA?
Shuhuda zimetolewa hadharani, na ni shuhuda zinazodhihirisha mambo magumu kufikirika katika hali ya kawaida. Ila hawa walioshuhudia wapo kati yetu, mtaani kwetu hata majumbani kwetu, kigoma, chato, kilimanjaro, sumbawanga, kagera, Dar es salaam mmetisha sana. Wenyeji wa huko mnasemaje kuhusu Kuhani Musa?
Fred William Rwegasira.
View attachment 2123813
Mr Rwegasira ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera, Bukoba kule, Mkazi wa Salasala - Dar es salaam. Na sasa anaishi kimara
Innocent Carol Paulo
View attachment 2123832
Innocent Carol Paulo ni mzaliwa wa Chato. Na mkazi wa Tabata - Dar es salaam
Levina Lyamuya na mdogo wake
View attachment 2123876
Levina ni mwenyeji wa Kilema, Moshi- Kilimanjaro
Malkia
Bwana Yusufu
Yusufu ni mzaliwa na mwenyeji wa kigoma
Sumbawanga mtoto afufuka
ttps://youtu.be/PHUUbiYOEBY
Cancer
View attachment 2124268
Baada ya siku2
View attachment 2124312
Nimekuelewa sana. Ufufuo upo na uponyaji upo
Babu Ochu; mimi, wewe, huyo malkia wa freemason sote ni watanzania. Kila kitu kiko wazi upande wa Kuhani Musa tena vipo online hapo.
Sasa nadhani ili kuuthubitishia umma kwamba huo ni upuuzi kama unavyosema lazima uthibitishe kwamba hizo shuhuda ni za uongo. Hivi vitu havihitaji hata hasira vinahitaji tuu kuthibitishwa
Kuhusu matumizi ya biblia vifungu vya kuogofya vya ufunuo na agano la kale sioni kama vinaogofya kuliko matendo yanayofanyika na wanadamu wa leo, na wala hauna kipande cha maandiko matakatifu kisichotakiwa kutumika
Zaidi ya yote ili neno liweze kuwasaidia watu lazima lihubiriwe kwa nyakati na mazingira waliyomo na wanayoishi
'WATU' wakija kuamka tayari jamaa hawahitaji tena, ... na huenda akawa hata mbunge! 😅Pale Kuna maombi kulingana na kiwango chako Cha pesa kuna maombi ya laki laki maombi ya Elfu hamsini ,maombi ya Elfu ishirini na n.k
Uliona WAPI maombi kulingana na umaskini au utajiri WA MTU
Unahitaji kiwango Cha juu Cha upumbavu kumuelewa yule tapeli
USSR
mama D ameshakula fweza ya promo! ... KALAGA BAHOMama D umeisha nasa tiyari, makuani wa Sasa sio wa kuamini mama D
Inatakiwa kuhani aisaidie Polisi kuhusu hao wauaji!Kuna binti mmoja hapo kwa huyo anaejiita Kuhani kupitia moja ya video zake zilizo Youtube alidai ni kiongozi mkubwa wa Freemasonry na kwamba alishaua watoto na watu wazima idadi ya malaki (malaki, siyo watu mia!). Na bado mleta mada anahitaji afanyiwe tafiti kwanza ndipo ajiridhishe na utapeli wa watu wa aina hii!
Siruhusu MTU yoyote akubaliane na Mimi lakini hili ni Jambo lililonitokea Nina miezi miwili nasali pale hata sijaenda kushuhudia bado.Sina MTU/ kiongozi ninaemfahamu pale baada ya kuumwa muda mrefu nilimshirikisha Rafiki yangu Yuko Mkoani,na matatizo mengine ya binafsi akaniambia niende pale. Kwanza lazima nikiri SIJAWAHI kusali kwenye haya Makanisa sababu sikuwa NAYAAMINI. Baada ya kwenda pale hata ugonjwa uliokuwa unanisumbua Kwa miaka 12 UMEYEYUKA. Ndio maana nasema IMANI Kwanza Mimi yamenitokea na siwezi kunyamaza hata nikiitwa mjinga cha muhimu NIMEPONA.Ilikuaje mama kubwa?
Tuambie kidogo inaweza kutufungua ufahamu zaidi
Siku ukipata shida utajua haukuwa Upumbavu.Acheni kudhani watu wote wapumbav
Pia kuna mafuta ya bei tofauti ya kuogea/kujipaka/kujifukiza ili kuondoa tatizo la muumini yenye bei tofauti kutegemea na ukubwa wa tatizo lake!Pale Kuna maombi kulingana na kiwango chako Cha pesa kuna maombi ya laki laki maombi ya Elfu hamsini ,maombi ya Elfu ishirini na n.k
Uliona WAPI maombi kulingana na umaskini au utajiri WA MTU
Unahitaji kiwango Cha juu Cha upumbavu kumuelewa yule tapeli
USSR
Unasalimiwa na Lukas 😁😁😁😁😁Sio clips TU dada huyu yupo mitaa ninayoishi namsikia kila siku HASA USIKU ,ni mganga wa kienyeji TU aliyechangamka yesu alitoa Bure, hizi shuhuda ni michongo japo miujiza ipo
USSR
Ndio Yeye. Sijui kama aliyokaga mahabusu huyo jamaa.Nilidhani huyo Mukombo ndiye Mzee wa Yesu!
Unafanya biashara hapa.Ndio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje
Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
Mti wa mema na mabaya ndo Ni zinaaa? Nauliza.Sawa Msanii😆😆😆
AGENT!Siruhusu MTU yoyote akubaliane na Mimi lakini hili ni Jambo lililonitokea Nina miezi miwili nasali pale hata sijaenda kushuhudia bado.Sina MTU/ kiongozi ninaemfahamu pale baada ya kuumwa muda mrefu nilimshirikisha Rafiki yangu Yuko Mkoani,na matatizo mengine ya binafsi akaniambia niende pale. Kwanza lazima nikiri SIJAWAHI kusali kwenye haya Makanisa sababu sikuwa NAYAAMINI. Baada ya kwenda pale hata ugonjwa uliokuwa unanisumbua Kwa miaka 12 UMEYEYUKA. Ndio maana nasema IMANI Kwanza Mimi yamenitokea na siwezi kunyamaza hata nikiitwa mjinga cha muhimu NIMEPONA.