Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Tatizo sujui maana ya neno " "on line" kwa kiswahili labda subiri Kuna mtu atakutafsiria.Tunakipataje hiki mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sujui maana ya neno " "on line" kwa kiswahili labda subiri Kuna mtu atakutafsiria.Tunakipataje hiki mkuu?
Nilikuwa Mbishi Sana lakini NIMEPONA na sioni aibu kusema kuwa ninasali pale na nitaendelea kwenda.
Angalau wewe umesena Mimi nimepona ndio muhimu. Nimepunzika kunywa madawa kila siku.EXTREMELY MAGICAL POWER CAPABILITY, AMBAZO ZINAPATIKANA MALAWI NA NIGERIA MITEGO YAKE IKISHASIMIKWA KATIKA ENEO LA KANISA I NAKUWA NI NGUVU KUBWA KWELI YA KUKIMBIZA NA KUFUKUZA VIUCHAWI VIDOGO VIDIGO KATIKA ENEO HUSIKA PAMOJA NA MAJI MAALUMU AMBAYO HUJA KATIKA CHUPA NDOGO SANA LAKINI HUCHANGANYWA NA PIPA ZIMA.
N. B, IKIWA UMETUPIWA KITU KIBAYA KWA NGUVU ZILIZOPO KITAKIMBIA LAKINI UKIWA KWA MAPENZI YA MUNGU UMEZALIWA MLEMAVU UTABAKI KWA KADRI ULIVYOUMBWA.
IT CALLED "" SPIRIATUALISM BUSNESS THRUOGH JESUS NAME AND BIBLE""
EXTREMELY MAGICAL POWER CAPABILITY, AMBAZO ZINAPATIKANA MALAWI NA NIGERIA MITEGO YAKE IKISHASIMIKWA KATIKA ENEO LA KANISA I NAKUWA NI NGUVU KUBWA KWELI YA KUKIMBIZA NA KUFUKUZA VIUCHAWI VIDOGO VIDIGO KATIKA ENEO HUSIKA PAMOJA NA MAJI MAALUMU AMBAYO HUJA KATIKA CHUPA NDOGO SANA LAKINI HUCHANGANYWA NA PIPA ZIMA.
N. B, IKIWA UMETUPIWA KITU KIBAYA KWA NGUVU ZILIZOPO KITAKIMBIA LAKINI UKIWA KWA MAPENZI YA MUNGU UMEZALIWA MLEMAVU UTABAKI KWA KADRI ULIVYOUMBWA.
IT CALLED "" SPIRIATUALISM BUSNESS THRUOGH JESUS NAME AND BIBLE""
Nilikuwa Mbishi Sana lakini NIMEPONA na sioni aibu kusema kuwa ninasali pale na nitaendelea kwenda.
As I stated above ulikuwa unaumwa kiuchawichawi hivyo kauchawi ni lazima kakimbie do to massive magical anti wizard power.Nilikuwa Mbishi Sana lakini NIMEPONA na sioni aibu kusema kuwa ninasali pale na nitaendelea kwenda.
"Imani za namna hii binadamu wengi hazipo, "kwani kumbuka utakapokuwa na Imani kidogo sana kama punje ya HARADALI utweza kuamisha mlima, yesu hakutumia machumvi wala mafuta alinena tu na IKIWANaona wewe umesahau kwamba Mungu aliyekuumba hana nguvu kabisaaaa na kuamua kurudisha utukufu wote kwa shetani
Ninachojua mimi kwa imani yangu
Yohana 14:13-14
"Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
Yohana 14:12
"Hakika nawaambia, yeyote anayeniamini atafanya mambo kama yale niliyoyafanya. Naye atafanya mambo makubwa zaidi ya yale niliyofanya, kwa sababu mimi naenda kwa Baba."
As I stated above ulikuwa unaumwa kiuchawichawi hivyo kauchawi ni lazima kakimbie do to massive magical anti wizard power.
Ngoja nikufungue akili kidogo kwa shuhuda hizi ambazo nimetokea kuziamini ila hawa manabii wa bongo tumepigwaUko wapi mkuu? Natamani kupata upinzani wenye majibu ya maswali yangu na hizo shuhuda lakini naambulia shutma tuu
"Imani za namna hii binadamu wengi hazipo, "kwani kumbuka utakapokuwa na Imani kidogo sana kama punje ya HARADALI utweza kuamisha mlima, yesu hakutumia machumvi wala mafuta alinena tu na IKIWA
Ngoja nikufungue akili kidogo kwa shuhuda hizi ambazo nimetokea kuziamini ila hawa manabii wa bongo tumepigwa
Nimekuwekea sehemu za kwanza ila wewe tafuta muendelezo youtube
Hao wanaojiita sijui nabii au mitume huku wakiweka kambi kwenye miji mikubwa, Wala huwezi kuwasikia wakihuburi habari za ufalme wa Mungu, wakiwaambia watu waache dhambi, waishi maisha matakatifu Ili wasije wakaangukia katika ziwa la moto, wao wamebaki kukomaa na injili za utajirisho ooh magari, ooh majumba, mafanikio huku waumini wakifanyika fursa hizo sadaka zimeitwa Kila majina, Ili kumnasa mtoaji ndio Maana wao utaona wananeemeka huku wanao wafanyia hiyo miujiza Hali zao zikibaki kuwa mbaya
Tumsikilize kidogo