Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Huwa anachaji hela kumuona hata mimi nina uhakika na hilo, kuna wa 20,000, kuna wa 50,000, kuna wa 100,000 na kuendelea

Ndugu yangu akiambiwa alipe 20,000 kwa ajili ya akumuona akapangiwa na muda, alipofika wakamwambia amechelewa kwa sasa anawaona watu wa 50,000 tu akitaka aongeze hela au arudi siku inayofuata

Kwa kifupi kila mtu anapata huduma kutokana na pesa yake

INTERESTING THOUGH
Ni kweli ukienda kanisani kwake utamwona tu na utasikiliza mahubiri, ila kamq inahitaji huduma ya maombi ni lazima ulipie na uoangiwe muda wa kumwona,

Mama D, namfahamu Musa tangu akiwa kwa mzee wa Yesu akafukuzwa akaanzisha huduma yake kule makuburi (sina kumbukumbu sana ila niliwahi hudhuria ibada pale) na baadae akahamia rufungira, alikua anafanya huduma bure kabisa hata ukitaka maombezi nyumbani kwako anakutafuta bila hata gharama labda wewe mwenyewe uamue kumjazia mafuta , baada ya kupata waumini wengi akabadilisha style ya utoaji huduma, ukitaka huduma lazima ulipie, mafuta yake na maji pia yapo ya kila bei yaani mpaka ya laki mbili kwa madai kwamba yana nguvu kuliko yale ya 20,000

Penye ukweli tuseme

Huyu mtumishi yuko njema na huwa nafuatilia huduma yake sana ila style yake ya kutoa huduma inatia mashaka
 
Si unaona sasa mara oooh nabii wa kwelii nabii gani anapanga viwango vya kwenda kumuona tu hapo haujataja shida yako, Yesu mwenyewe angefanya hivi nani angepona??
Huwa anachaji hela kumuona hata mimi nina uhakika na hilo, kuna wa 20,000, kuna wa 50,000, kuna wa 100,000 na kuendelea

Ndugu yangu akiambiwa alipe 20,000 kwa ajili ya akumuona akapangiwa na muda, alipofika wakamwambia amechelewa kwa sasa anawaona watu wa 50,000 tu akitaka aongeze hela au arudi siku inayofuata

Kwa kifupi kila mtu anapata huduma kutokana na pesa yake
 
Ni kweli ukienda kanisani kwake utamwona tu na utasikiliza mahubiri, ila kamq inahitaji huduma ya maombi ni lazima ulipie na uoangiwe muda wa kumwona,

Mama D, namfahamu Musa tangu akiwa kwa mzee wa Yesu akafukuzwa akaanzisha huduma yake kule makuburi (sina kumbukumbu sana ila niliwahi hudhuria ibada pale) na baadae akahamia rufungira, alikua anafanya huduma bure kabisa hata ukitaka maombezi nyumbani kwako anakutafuta bila hata gharama labda wewe mwenyewe uamue kumjazia mafuta , baada ya kupata waumini wengi akabadilisha style ya utoaji huduma, ukitaka huduma lazima ulipie, mafuta yake na maji pia yapo ya kila bei yaani mpaka ya laki mbili kwa madai kwamba yana nguvu kuliko yale ya 20,000

Penye ukweli tuseme

Huyu mtumishi yuko njema na huwa nafuatilia huduma yake sana ila style yake ya kutoa huduma inatia mashaka
Haswaaaa ukweli usemweee, haya sasa Mama D kama umenaswa peke yako wengine wameshashituka, kumbe hata mafuta yapo ya Bei yanaponya zaidi duh, kwahiyo ukichukua ya buku tano hayana nguvu hahahaha aiseee
 
NURU na giza.......roho hizi zote zina miujiza.....jiulize uko kwenye roho ipi?...kama unafuata miujiza ni miujiza ya roho ipi??? tunaangamia kwa kukosa maarifa.....maarifa yote yapo kwenye vitabu VITAKATIFU...ielekee NURU ukapate miujiza yako......

mawakala sio wa Mpesa/Tigo pesa pekee.......wako wa kila aina......
 
Haswaaaa ukweli usemweee, haya sasa Mama D kama umenaswa peke yako wengine wameshashituka, kumbe hata mafuta yapo ya Bei yanaponya zaidi duh, kwahiyo ukichukua ya buku tano hayana nguvu hahahaha aiseee
Kuna ambayo ni special kwa ajili ya kuona wachawi na wanga, unapaka machoni🤣🤣🤣

Huu nao ni aina ya uganga sasa
 
Ni uganga kabisa, unataka uwaone wachawi wa kazi gani sasa kama wanaendelea na mishe zao hawana Muda na Wewe😀😀😀😀😀 Bwana asipoulinda mji wakeshao wafanya kazi Bure!!
 
Huwa anawapaka waumini wake wote anawaambia leo wanga wakipita kwako lazima uwaone na uwakamate halafu uje kutoa ushuhuda, hiyo siku nilitoka mbio sikutaka kupakwa mimi
 
Haaaaa! Ungepakwa na Wewe hapo uliharibu Ili utupe ushuhuda vizuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dunia ina mambo hii
 
Watu waliopakwa unaona tu macho yanawatoka machozi, wanasema yanawasha

Huwa napenda kuwa mdadisi,binafsi nasali KKT ila nikipataga time huwa nahudhuria haya makanisa ya kiroho mara moja moja nione kinachoendelea
 
Aiseee Mimi sijawah nimebak zangu KKKT panatosha
 
Kkkt panatosha ila sio mbaya ku explore what's happening out there, zikija thread kama hizi unakua na cha kuzungumza maana zingine huwa zinapotosha, au hata utakutana na waumini wengine na ukapata cha kuwashauri ili wasipoteee huko kwenye haya makanisa yanayoibuka maana siku hizi ni mengi na serikali wala haijali
 
Hongera Wewe, Ila jiangalie wengine wanatumia mapepo na majini kunasa waumini unajikuta tu umekuwa muumini with no reason atakachosema kuhani unakubali, nasikia Kuna kuhani anasema ukitaka kuolewa basi utoe malimbuko kwake yaani bint ukalale kwake siku 7 ndio utaolewa 😂🤣🤣🤣🤣🤣 si ajabu Kuna mabint wamefuata ya kuhani🤣🤣🤣🤣
 
Serikal mpaka ione kuna uvunjifu wa amani si Kila mtu amepewa uhuru wa kuabudu popote na kuabudu chochote, Mimi Huwa nawaangalia tu kwenye TV tu basi
 
Hongera Wewe, Ila jiangalie wengine wanatumia mapepo na majini kunasa waumini unajikuta tu umekuwa muumini with no reason atakachosema kuhani unakubali, nasikia Kuna kuhani anasema ukitaka kuolewa basi utoe malimbuko kwake yaani bint ukalale kwake siku 7 ndio utaolewa 😂🤣🤣🤣🤣🤣 si ajabu Kuna mabint wamefuata ya kuhani🤣🤣🤣🤣
Hawawezi kunipata ng'ooo maana huwa sishiriki keki zao, wala maji yao, wala mafuta yao wala sadaka, i am always the abserver

Halafu sio kwamba huwa naenda kila siku, it migh be once a year maana hayo makanisa nayo ibada zao ni siku nzima yaani, lazima uwe na muda maana ibada haziishi

Kwa mwamposa na kwa mzee wa upako sijawahi kwenda na sina mpango

Kwa sasa huko ambapo nishaenda naona pengini utapeli, na nadhani wote wanafanana style zao
 
Mimi nampendeaga kwenye mahubiri yake yuko vizuri sana katika kufafanua mambo mbalimbali katika biblia. Kitu kinachonikwaza kwake ni namna anavyochelewesha ibada bila kujali watu wanatoka mbali mara nyingi nikipita tembeon siku za ijuma ana jumanne utawakuta watu wamezagaa kule had saa saba wanatoka ibadani kweli hii sio salama sana,ajitahidi amalize ibada walau saa mbili na nusu watu wawahi kwao.

Mengine jamaa yuko vizuri sana na nazani ndio maana amepata mafanikio Makubwa kwa muda mfupi an kuwazidi hata waliomtangulia
Ana maajabu gani?
 
Hawawezi kunipata ng'ooo maana huwa sishiriki keki zao, wala maji yao, wala mafuta yao wala sadaka, i am always the abserver

Halafu sio kwamba huwa naenda kila siku, it migh be once a year maana hayo makanisa nayo ibada zao ni siku nzima yaani, lazima uwe na muda maana ibada haziishi

Kwa mwamposa na kwa mzee wa upako sijawahi kwenda na sina mpango

Kwa sasa huko ambapo nishaenda naona pengini utapeli, na nadhani wote wanafanana style zao
Sawa mkuu jitahidi usije ukakamatika, naogopa hata sijui nikuite dada au kaka maana humu ni changanyike itoshe tu hiyo mkuu jitahidi usimamie msimamo wako usije kuwa trapped
 
Pale Kuna maombi kulingana na kiwango chako Cha pesa kuna maombi ya laki laki maombi ya Elfu hamsini ,maombi ya Elfu ishirini na n.k

Uliona WAPI maombi kulingana na umaskini au utajiri WA MTU

Unahitaji kiwango Cha juu Cha upumbavu kumuelewa yule tapeli

USSR
Kati ya vitu anavyonishangaza anaweza zungumzia hela masaa yote ya ibada bila kuchoka
 
Sio clips TU dada huyu yupo mitaa ninayoishi namsikia kila siku HASA USIKU ,ni mganga wa kienyeji TU aliyechangamka yesu alitoa Bure, hizi shuhuda ni michongo japo miujiza ipo

USSR
Anapenda hela hatari, dada angu kanasa kumchomoa sasa ntakoma [emoji26][emoji26][emoji848]
 
Back
Top Bottom