Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Huwa anachaji hela kumuona hata mimi nina uhakika na hilo, kuna wa 20,000, kuna wa 50,000, kuna wa 100,000 na kuendelea
Ndugu yangu akiambiwa alipe 20,000 kwa ajili ya akumuona akapangiwa na muda, alipofika wakamwambia amechelewa kwa sasa anawaona watu wa 50,000 tu akitaka aongeze hela au arudi siku inayofuata
Kwa kifupi kila mtu anapata huduma kutokana na pesa yake
INTERESTING THOUGH
Ni kweli ukienda kanisani kwake utamwona tu na utasikiliza mahubiri, ila kamq inahitaji huduma ya maombi ni lazima ulipie na uoangiwe muda wa kumwona,
Mama D, namfahamu Musa tangu akiwa kwa mzee wa Yesu akafukuzwa akaanzisha huduma yake kule makuburi (sina kumbukumbu sana ila niliwahi hudhuria ibada pale) na baadae akahamia rufungira, alikua anafanya huduma bure kabisa hata ukitaka maombezi nyumbani kwako anakutafuta bila hata gharama labda wewe mwenyewe uamue kumjazia mafuta , baada ya kupata waumini wengi akabadilisha style ya utoaji huduma, ukitaka huduma lazima ulipie, mafuta yake na maji pia yapo ya kila bei yaani mpaka ya laki mbili kwa madai kwamba yana nguvu kuliko yale ya 20,000
Penye ukweli tuseme
Huyu mtumishi yuko njema na huwa nafuatilia huduma yake sana ila style yake ya kutoa huduma inatia mashaka