Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Je unaamini mazingaombwe yapo? Pale Mortuary kuna wafu known, yaani mtu kafia wardini, anaingizwa mortuary kwenye majokofu, then tumtoe kwenye jokofu after 3 days kisha mlete huyo nabii wako amfufue..kama hatatoka speed. Au tumpeleke hosp ya cancer, achukuliwe mgonjwa aliyeoza koo then aponywe!

Hizo ni sanaa za kujipatia pesa ndg yng. Akina Gwajiboy wenyewe washaumbiwa, siku hz wanafanya mambo kwa machale
Sanaa za kujipatia Pesa na bongo za wajinga kugeuza mandondocha
 
Fanya mpango tuchukue wagonjwa 10 pale ocean road tumpelekee halafu ndio turudi hapa kufunga mjadala
Ndugu acha kujilisha UJINGA hakuna hii kitu ndio maana hao mnaowaita manabii wanabungua bongo zenu wanawafanya misukule
 
Mimi nampendeaga kwenye mahubiri yake yuko vizuri sana katika kufafanua mambo mbalimbali katika biblia. Kitu kinachonikwaza kwake ni namna anavyochelewesha ibada bila kujali watu wanatoka mbali mara nyingi nikipita tembeon siku za ijuma ana jumanne utawakuta watu wamezagaa kule had saa saba wanatoka ibadani kweli hii sio salama sana,ajitahidi amalize ibada walau saa mbili na nusu watu wawahi kwao.

Mengine jamaa yuko vizuri sana na nazani ndio maana amepata mafanikio Makubwa kwa muda mfupi an kuwazidi hata waliomtangulia
Sijawahi kumfuatilia
Ngoja nitaanza kusikiliza mahubiri yake nimsikie!
 
Ndugu acha kujilisha UJINGA hakuna hii kitu ndio maana hao mnaowaita manabii wanabungua bongo zenu wanawafanya misukule

Kati ya mimi ninayetaka tupeleke wagonjwa na wewe unaeongea bila nani anaejilisha ujinga😆😆😆😆
 
Aisee ningekuwa Dar dada angu ningetumia njia yoyote tukutane, tufanye pa1 hii research. Huwa mtu asipopona wanakimbilia kusema hana imani, so tungemshawishi mtumishi wa chaguo lako akafufue mfu as mfu hahitaji imani yake...ungeona jinsi hao mitume sijui makuhani fake wanavyotoa ratiba za uongo uongo kukwepa aibu!

NB: Nami nimewahi kuwa Mtumishi mzuri tu! Now naishi uhalisia wangu...

Hata mimi sipo dar ila haikatazi kufanya reasearch maana hata sample juu kwenye uzi sio wa dar pekee. Wapo wa mikoani na nje ya Tanzania pia
 
Fanya utuletee na mc pilipili na masanja nae tumjue kiundani
 
Haya mama. Give yourself a time. Time heals everything. We jipe muda wa kuchunguzaa utapata jibu oneday.

Nimesali saaaana kwenye hizi churches ki-uchunguzi, I drew my own conclusion kuwa wengi ni wezi kwa kupitia Biblia. I met watumishi wachawi, wajanja wa kutumia maneno matamu, mazingaombwe na uibilisi kibao.

Religion is an opium just like heroine

Uchunguzi wako unaweza kushare?
 
Kuna Nabii feki alikula Milioni 10 ya ndugu yangu mgonjwa mpaka leo sina imani na Nabii yoyote wala mama yake Mtume.

Kamwe usimkaribishe nabii feki feki nyumbani kwako atatoa vitu vya kichawi ambavyo vitakujaza uwoga hapo ndipo anapata gia ya kukufilisi.
Mil 10?[emoji848][emoji125]
Ila wale ambao ni fake nachojua mara nyingi huwa wanakuja na vitu vyao kwenye mfuko ,wakifika kwako wanavidondosha ndo wanajifanya wamevitoa[emoji16]
 
Kati ya mimi ninayetaka tupeleke wagonjwa na wewe unaeongea bila nani anaejilisha ujinga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
......ha ha nyie wamama tangu Nyoka alivyowakomesha pale Edeni mpaka leo hamjazinduka poleni bahati nzuri mke wangu hana huu UPUMBAVU maana pasingetosha.....
 
......ha ha nyie wamama tangu Nyoka alivyowakomesha pale Edeni mpaka leo hamjazinduka poleni bahati nzuri mke wangu hana huu UPUMBAVU maana pasingetosha.....

Hii maada inahitaji mjadala elimisha sio kusema mimi inanihusu au hainihusu....
Tujibu swali bila povu, Kuhani Musa ni nani?
 
Je unaamini mazingaombwe yapo? Pale Mortuary kuna wafu known, yaani mtu kafia wardini, anaingizwa mortuary kwenye majokofu, then tumtoe kwenye jokofu after 3 days kisha mlete huyo nabii wako amfufue..kama hatatoka speed. Au tumpeleke hosp ya cancer, achukuliwe mgonjwa aliyeoza koo then aponywe!

Hizo ni sanaa za kujipatia pesa ndg yng. Akina Gwajiboy wenyewe washaumbiwa, siku hz wanafanya mambo kwa machale
Mimi naamini kuna kuponywa na kufufuliwa kwa mtu/watu ikiwa anayeomba anamwamini Mungu na Mungu amempa karama ya uponyaji.

Walishafufuka wengi kabla na baada ya kuja Yesu Kristo.
 
jamii inapenda miujiza, hata wewe Mama D ukiwa unaweza kufanya miujiza lazima tuje tujae... il ukianzisha kanisa ukawaambia waumini fact kama ili uwe tajiri fanya kazi kwa bidii na muombe Mungu.. utajikuta peke yako kanisani..
 
Siku nilipomsikia shuhuda aliyekuwa akiongozwa naye aliposema Qnet ni Freemason nikacheka Sana.

Alafu wakamzuia Yule shuhuda asiseme hivyo Vyama vya watu 😀😀😀
 
Hii maada inahitaji mjadala elimisha sio kusema mimi inanihusu au hainihusu....
Tujibu swali bila povu, Kuhani Musa ni nani?
Nihivi hakuna Mtumishi pale ni wasaka noti tu.....labda kama umepewa cheo cha marketing officer huko umekuja humu kusaka wateja sioni mwenye akili timamu anaesoma bible mwenyewe akiamini huo ujinga ni nyakati hizi tu hakuna mazingaombwe Ila nyakati hizo mazingaombwe mashuleni ilikuwa kawaida tu....nasema sababu watu wanatoka huko kwenye viota mnaita makanisa wanakuja tunakoabudu wana confess yanayotendwa huko!
 
Mimi naamini kuna kuponywa na kufufuliwa kwa mtu/watu ikiwa anayeomba anamwamini Mungu na Mungu amempa karama ya uponyaji.

Walishafufuka wengi kabla na baada ya kuja Yesu Kristo.
Natamani kusikia kama naww ni mmoja wa waliokufa ukafufuliwa vinginevyo ni maigizo yakawaida tu
 
Back
Top Bottom