Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna ukweli hapa.. wafu hawajui lolote na kumbukumbu yao imesahauliwa
Kutokana.na yalioibuliwa hivi karibuni na.mange kimambi kuhusu baby mamas wa mwamposa. Mzee wa kuzama massage parlour huku kafaa kitambaa kama mwarabu ili asionekane na kupendelea zile happy endings mpaka kubarikiwa watoto. Kuna la kujiginza toka kwa hawa watumishi wa mungu.
Huyo Kuhani mussa ana nguvu ya kufufua au amewehi kufufua mtu yeyote mwanzo..kabla ya hilo tukio?Kusema haina ukweli ni maneno tuu na haitoshi.
Maelezo na videos ziko hapo, na wewe pita nazo ulete proof ili utusaidie kuelewa na kuamini unachosema
Huyo Kuhani mussa ana nguvu ya kufufua au amewehi kufufua mtu yeyote mwanzo..kabla ya hilo tukio?
Yes.hakuna mwanadamu awezae kufufua ila Mungu hufufua kupitia watumishi wake
Yes.
Kinachotakiwa ni kutotii udanganyifu na kuachana na mafundisho ya pepo TIMOTHEO 4° shetani anaponya ila hana nguvu ya kufufua.. mapepo huchukua sura za watu waliokufa Kudanganya watu. rejea kisa cha Mungu kuficha mwili wa Elia° utapata kitu.
Acha blahblah waliokufa na wakashuhudia kufufuka ni watanzania wapo, walikotaja walifia kupo, walikozikwa kupo, waliohusika kuwazika wapi, wengine ni wanafunzi na shule walizosoma zipo, Kuhani Musa yupo
Sasa wewe njoo uthibitishe kwamba huyo anayefufua wafu kupitia Kuhani Musa ni shetani kama unavyosema
Maana mimi najua
Yohana 14: 12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
Kila MTU ana haki ya kufanya na kuamini anachoaminiNdio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje
Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
Yule ni shemeji yanguatlas copco eti KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NI NANI?
UONGO MTUPU, HAKUNA NA HAIWEZI KUTHIBITISHWA NA YEYOTE HATA KUNA MTU ALIKUFA AKAFUFULIWA NA HUYO KUHANI UCHWARA WENU.
Maigizo ya kitoto tu, kuhani wenu amewapata watu wenye akili ndogo amewageuza mavuvuzela wake huku akiwalia na vijisenti vyenu vya kuganga njaa
sidhani unayemtext anaweza akawa jinsia ya kike ila hujakosea kutokana id yake hahhaaaaaaaSiku zote wanawake mna mioyo myepesi sana! Ni wepesi wa kuamini! Ukiangalia wahudhuriaji wengi kwenye hiyo mikutano, lazima utakuta ni wanawake!
Hivyo endeleeni kupigwa. Maana hakuna namna.
sidhani unayemtext anaweza akawa jinsia ya kike ila hujakosea kutokana id yake hahhaaaaaaa