Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

Kutokana.na yalioibuliwa hivi karibuni na.mange kimambi kuhusu baby mamas wa mwamposa. Mzee wa kuzama massage parlour huku kafaa kitambaa kama mwarabu ili asionekane na kupendelea zile happy endings mpaka kubarikiwa watoto. Kuna la kujiginza toka kwa hawa watumishi wa mungu.
 
Hamna ukweli hapa.. wafu hawajui lolote na kumbukumbu yao imesahauliwa

Kusema haina ukweli ni maneno tuu na haitoshi.
Maelezo na videos ziko hapo, na wewe pita nazo ulete proof ili utusaidie kuelewa na kuamini unachosema
 
Kutokana.na yalioibuliwa hivi karibuni na.mange kimambi kuhusu baby mamas wa mwamposa. Mzee wa kuzama massage parlour huku kafaa kitambaa kama mwarabu ili asionekane na kupendelea zile happy endings mpaka kubarikiwa watoto. Kuna la kujiginza toka kwa hawa watumishi wa mungu.

Hilo halihusu wachungaji na mashehe tuu kila mwanadamu ni mtumishi wa Mungu katika nafasi yake, hata wenye ndoa zenu mnafata hizo happy ending
 
Ni matumizi.mabaya ya sadaka. Kujengea maghorofa ma slay queen. Mtumishi alikuwa TB Joshua tuu hawa wengine wanasaka fedha.
 
Waumini wanakwenda hata nauli wengine hawana badala a give back kwa waumini yeye anaenda kumaliza kwa maslay queen Baby mama mmoja anaitwa Kate Miraya anamiliki massage parlour 2. Ana kitoto cha mtumishi kama insurance ya investment.
 
Kusema haina ukweli ni maneno tuu na haitoshi.
Maelezo na videos ziko hapo, na wewe pita nazo ulete proof ili utusaidie kuelewa na kuamini unachosema
Huyo Kuhani mussa ana nguvu ya kufufua au amewehi kufufua mtu yeyote mwanzo..kabla ya hilo tukio?
 
Nenda katafute majibu ya hilo swali uje nayo majibu hapa tujue. Si umeona maelezo na shuhuda hapo? Au mwanzo unaouulizia wewe wa Kuhani Musa kutumika kufufua ni upi?

Btw hakuna mwanadamu awezae kufufua ila Mungu hufufua kupitia watumishi wake
 
hakuna mwanadamu awezae kufufua ila Mungu hufufua kupitia watumishi wake
Yes.
Kinachotakiwa ni kutotii udanganyifu na kuachana na mafundisho ya pepo TIMOTHEO 4° shetani anaponya ila hana nguvu ya kufufua.. mapepo huchukua sura za watu waliokufa Kudanganya watu. rejea kisa cha Mungu kuficha mwili wa Elia° utapata kitu.
 
Acha blahblah waliokufa na wakashuhudia kufufuka ni watanzania wapo, walikotaja walifia kupo, walikozikwa kupo, waliohusika kuwazika wapi, wengine ni wanafunzi na shule walizosoma zipo, Kuhani Musa yupo

Sasa wewe njoo uthibitishe kwamba huyo anayefufua wafu kupitia Kuhani Musa ni shetani kama unavyosema
Maana mimi najua

Yohana 14: 12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
 
UONGO MTUPU, HAKUNA NA HAIWEZI KUTHIBITISHWA NA YEYOTE HATA KUNA MTU ALIKUFA AKAFUFULIWA NA HUYO KUHANI UCHWARA WENU.
Maigizo ya kitoto tu, kuhani wenu amewapata watu wenye akili ndogo amewageuza mavuvuzela wake huku akiwalia na vijisenti vyenu vya kuganga njaa

Ndio nimeweka hapo washudiaji na uwenyeji wao na makazi yao ili tujue hayo maigizo yanafanyikaje

Bila proof ya unachokisema itazidi kuaminika na kubaki palepale kwamba miujiza inatendeka
Kila MTU ana haki ya kufanya na kuamini anachoamini
 
UONGO MTUPU, HAKUNA NA HAIWEZI KUTHIBITISHWA NA YEYOTE HATA KUNA MTU ALIKUFA AKAFUFULIWA NA HUYO KUHANI UCHWARA WENU.
Maigizo ya kitoto tu, kuhani wenu amewapata watu wenye akili ndogo amewageuza mavuvuzela wake huku akiwalia na vijisenti vyenu vya kuganga njaa

Ukimaliza kula mhugo kunywa maji usubirie ugali wa bimkubwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siku zote wanawake mna mioyo myepesi sana! Ni wepesi wa kuamini! Ukiangalia wahudhuriaji wengi kwenye hiyo mikutano, lazima utakuta ni wanawake!

Hivyo endeleeni kupigwa. Maana hakuna namna.
sidhani unayemtext anaweza akawa jinsia ya kike ila hujakosea kutokana id yake hahhaaaaaaa
 
Nilikuwa namjibu mama D! Sasa unataka uniambie una wasiwasi anaweza akawa siyo mwanamke? 🤔

By the way, nilicho kisema kina ukweli. Wanawake mna mioyo myepesi ya kuamini vitu kwa haraka, kuliko sisi wanaume. Na ndiyo maana mnajazana sehemu yoyote ile mtakaposikia tu kuna hao Makuhani, Manabii, Mitume, nk. Yaani kiufupi ni wepesi wa kuamini na kudanganywa.

Na kinachofuatia baada ya hapo, ni KUPIGWA tu.
 
Back
Top Bottom