yaani hangaya auze nchi kwa wajomba zake mumpangie? hahaaaa na bado naskia anataka kuuza na mount kilimanjaro kabisa uwe kwa kina wazee wa maandamano kule, stay tuned bado mtaona mambo mengi sana ni muda tu haujafika , fiiiisiiiiemuuuuuuuuuu oyeeeeeeee, yani ukiwa chama la mbogamboga raha sana akili unamwachia mwenyekiti wewe unazurura tu kama umbwa koko.