Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Kuuza Mali za urithi bila ridhaa ya mwenye Mali Si kuvuruga Amani huko?

Kuweka hatarini USALAMA wa Nchi Kwa kumilikisha Taifa jingine Bandari zetu, lango la Nchi Si kuvuruga Amani huko?
MKIANZISHA VURUGU NISHTUE MKUU
 
....CHAWA Utawajua TU Kwa Kauli zao!.... [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kaanzisha songombingo nyingine ya Mwekezaji awe pia na haki ya kumiliki ardhi...Huyu bi Mkubwa haya mambo mbona Zanzibar hayapeleki?
...Kuna Nchi zimeikingia Vita ya Wenyewe Kwa Wenyewe Kwa Upuuzi kama huu !! [emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kwakuwa wawakilishi wa wananchi (bunge) wameridhia; kwakuwa serikali imetoa ufafanuzi wa jinsi gani hawa wanasheria walionunuliwa na hawa 'great thinkers' fake 20 wa humu jf wanavyopotosha na kwakuwa wananchi huku uraiani wameshaelewa muda tu na nyie wanakuoneni kama mabonto tu a.k.a vikatuni, basi hayo machafuko labda yatatokea katika familia yenu katika kugombea urithi. Tanzania itaendelea kubaki salama chini ya Jemedari Jasiri Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!!!!!!
Nawe ni mtz ...?...huu mkataba siyo poa kabisa... Mungu atatulipia...muda utaongea...
 
laana ya kizazi chako inakusumbua,
haujui ulipotoka na haujui unapokwenda ndio maana haujui umuhimu wa bandari
Najua sana, na sina laana bali baraka tele. Najisikia nimebarikiwa zaidi kwa kuwa mtanzania na kupata raisi mwenye maono ya kisasa kama jemedari hodari Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania
 
Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba.

Mkataba huo umekosolewa kwa mapana yake kwa kila kipengele kwamba haufai na watu waliokosoa hawajafanya kwa political interest ila wamekosoa kwa uzalendo wao watu hao wametoka kada tofauti kuanzia viongozi wa dini, siasa, wanasheria , taasisi za elimu, wasomi n.k

Miongoni mwa watu waliokosoa mkataba huo ni pamoja na

1. Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba.
2. Waziri mstaafu Professor Ana Tibaijuka
3. Mzee Butiku
4. Nguli wa sheria Professor Issa Shivji
5. Raisi mstaafu wa TLS Dr Nshala ambaye ni msomi mkubwa katika sheria kutoka chuo kikuu cha Havard kilichopo nchini Marekani.
6. Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mwanasheria ndugu Tundu Lisu
7. Kardinali wa Kanisa Katoliki Pengo.
8. Askofu Mwamakula
9. Mawakili na wanasheria tofauti wakiongozwa na ndugu Bonifasi Mwabukusi ambae hadi amefungua kesi Mahakama kuu kanda ya mkoa wa Mbeya.
10. Wananchi kutoka Tanzania na nje ya Tanzania - Diaspora
11. Mwenyekiti wa CUF Professor Lipumba
12. Mwenyekiti wa Chadema ndugu Mbowe
13. Chama cha sheria na haki za binadami ( LHRC)
14. Balozi mstaafu Dr Slaa
15. Kitima
16. N.k

Serikali yako Samia imeshindwa kutoa majibu ya mapungufu ya vipengele vya huo mkataba baada yake imeanza propaganda kwa kuongopa na kualika watu mbalimbali akiwemo msemaji wa serikali msigwa, waziri mkuu majaliwa, wasanii na watangazaji n.k ili wapotoshe ukweli wa mapungufu ya huo mkataba wa hovyo.

Leo tumesikia wanasheria huru wakilalamika kutishiwa maisha, miongoni mwa wanasheria hao ni raisi mstaafu wa TLS Dr Nshala na ndugu Bonifasi Mwabukusi kutoka Mbeya. kuhusu hili jambo endapo mtu yeyote akipata tatizo kutokana na kutetea bandari hakuna mtu atabaki salama miongoni mwenu ikiwemo ninyi viongozi, familia pamoja na ndugu zenu popote walipo.

Wito wangu kwa Rais Samia acha jeuri kuhusu maoni ya watanzania kuhusu ubovu wa huo mkataba, wananchi ndio wenye nchi hivyo kama hawaitaji huo mkataba usijitoe ufaham kwa kuwapuuzia.

Nchi yetu ni ya amani, hivyo hatutaki uvunjifu wa amani kwa sababu za maslahi yako binafsi Samia.

Kama wananchi hatutaki kufikia hatua ya maandamano na uvunjifu wa amani ila itakapobidi hatutakua na namna zaidi ya maandamano yasiyo na mwisho.

Bandari ni zawadi yetu kutoka kwa Mwenyezi Mungu lazima tutailinda kwa namna zote iwe heri au shari
TLS umewasahau

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Katika nakala yako unatumia lugha ya matusi kwa raisi wa nchi. Hebu kuwa muungwana. Zungumzia point za hisia yako. Sasa hivi, kwa lugha yenu ya matusi, taifa mume ligawa. Mumekosa utaratibu na uwa kujadili mada muhimu kama hii. Hata sisi amba hatubna CCM, ilipotajwa uzanzibari, mumezileta juu hisia zetu na kwa sasa hivi, waznzibari tulio wengi, tunasema muungano BASI.
 
hauna akili wewe, hiyo lugha niliyotumia ni ya kiungwana sana na haiendani na makosa makubwa aliyofanya huyo bibi ushungi wako.
ningetumia lugha kali ungejinyonga wewe malaya wa kisiasa.
 
Ni jambo la mda tu, hili jambo la mkataba wa bandari haliwezi kupita hivi hivi.
Samia asipotengua huo mkataba lazima alipie gharama
Key board worrier una mambo.
Hebu jitokeze kwa utambulisho wako halisi kama walivyojitokeza hao uliowataja.
 
una laana wewe pamoja na kizazi chako, ndio maana haujui ulipotoka na unakokwenda
 
Back
Top Bottom