Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Nani kakwambia mama yahe,awe na uchungu na mtoto wa kamwene unogile,pambana na haki yako,sisi bdo sisi nyie mafisi na tunauza kariakoo hiyo,subr uone
 
Juzi John Heche amenyimwa airtime Star TV walipogundua kuwa anaenda kuongelea swala la DP world.
 
Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba.

Mkataba huo umekosolewa kwamba haufai na watu kutoka kada tofauti kuanzia viongozi wa dini, siasa, wanasheria , taasisi za elimu, wasomi n.k

Miongoni mwa watu waliokosoa mkataba huo ni pamoja na

1. Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba.
2. Waziri mstaafu Professor Ana Tibaijuka
3. Mzee Butiku
4. Nguli wa sheria Professor Issa Shivji
5. Raisi mstaafu wa TLS Dr Nshana ambaye ni msomi mkubwa katika sheria kutoka chuo kikuu cha Havard kilichopo nchini Marekani.
6. Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mwanasheria ndugu Tundu Lisu
7. Kardinali wa Kanisa Katoliki Pengo.
8. Askofu Mwamakula
9. Mawakili na wanasheria tofauti wakiongozwa na ndugu Bonifasi Mwambukusi ambae hadi amefungua kesi Mahakama kuu kanda ya mkoa wa Mbeya.
10. Na wananchi kutoka mikoa yote ndani ya jamhuri ya Muungano wa Tanzaania
11. Mwenyekiti wa CUF Professor Lipumba
12. N.k

Serikali ya Samia imeshindwa kutoa majibu ya mapungufu ya vipengele vya huo mkataba baada yake imeanza propaganda kwa kuongopa na kualika watu mbalimbali ili wapotoshe ukweli wa mapungufu ya huo mkataba wa hovyo.

Leo tumesikia wanasheria huru wakilalamika kutishiwa maisha, miongoni mwa wanasheria hao ni raisi mstaafu TLS ndugu Dr Nshana na ndugu Bonifasi Mwabukusi kutoka Mbeya. kuhusu hili jambo endapo mtu yeyote akipata tatizo kutokana na kutetea bandari hakuna mtu atabaki salama ikiwemo ninyi familia na ndugu zenu.

Wito wangu kwa Rais Samia acha jeuri kuhusu maoni ya watanzania kuhusu ubovu wa huo mkataba, wananchi ndio wenye nchi hivyo kama hawaitaji huo mkataba usijitoe ufaham kwa kuwapuuzia.

Nchi yetu ni ya amani, hivyo hatutaki uvunjifu wa amani kwa sababu za maslahi yako binafsi Samia.

Kama wananchi hatutaki kufikia hatua ya maandamano na uvunjifu ila itakapobidi hatutakua na namna zaidi ya maandamano yasiyo na mwisho.

Bandari ni zawadi yetu kutoka kwa Mwenyezi Mungu lazima tutailinda kwa namna zote iwe heri au shari
Wote hao ni takataka bado wanaishi na machungu wengine kupigwa chini wengine kupigwa makofi. Rais au serikali haiwezi kurudi nyuma kwa sababu ya maneno hata siku moja itawapotezea credibility. Serikali ipo kwa kuchaguliwa inafanya kazi iliyopewa kisheria. Mtu anashida asubiri 2025 apige kampeni.
 
Ndugu haya mambo yanatia hasira sana, CCM chini ya Samia wanatukosea sana watanzania kuhusu mkataba wa bandari
Sema wanawakosea Chadema usiseme wa Tanzania, kwani unamuwakilisha nani? ulichaguliwa wapi.
 
Kabisa!
Isitoshe, kutuambia huyo jamaa sijui kasoma havard marekani ndo nini?!!! Tuogope?!!!
ujumbe umeshamfikia huyo bibi yenu mwenye akili kisoda, akipuuza tutakula kichwa
 
Kwakuwa wawakilishi wa wananchi (bunge) wameridhia; kwakuwa serikali imetoa ufafanuzi wa jinsi gani hawa wanasheria walionunuliwa na hawa 'great thinkers' fake 20 wa humu jf wanavyopotosha na kwakuwa wananchi huku uraiani wameshaelewa muda tu na nyie wanakuoneni kama mabonto tu a.k.a vikatuni, basi hayo machafuko labda yatatokea katika familia yenu katika kugombea urithi. Tanzania itaendelea kubaki salama chini ya Jemedari Jasiri Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!!!!!!
watu wenye akili ndogo kama wewe ni wachache sana nchini, tulia utaona wenye akili watachofanya
 
Wewe mwenyewe uache jeuri ! Unamtishia Rais ?

Kama vipi anzisha tu hayo machafuko tuone
bado sijamtisha, kitisho cha ukweli kinakuja.
jambo la bandari lisipobadilishwa haliwezi kupita hivi hivi
 
Kumuelewa Samia inabidi uwe umeshiba kichwani, tena ushibe sana! Tofauti na hapo utageuka kituko kwa wenye akili kutokana na uharo utakaokuwa unaumwaga kutoka kinywani. Mama si levo zenu ndo maana jpm kwa misimu miwili alishindwa kabisa kuwa mbali nae. Pumbaaaaav senu!!!!
sijajua bado kuna watu aina tanzania.
wewe chawa nakuonea huruma na kizazi chako
 
1. Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba.​
2. Waziri mstaafu Professor Ana Tibaijuka
3. Mzee Butiku
4. Nguli wa sheria Professor Issa Shivji
5. Raisi mstaafu wa TLS Dr Nshana ambaye ni msomi mkubwa katika sheria kutoka chuo kikuu cha Havard kilichopo nchini Marekani.
6. Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Mwanasheria ndugu Tundu Lisu
7. Kardinali wa Kanisa Katoliki Pengo.
8. Askofu Mwamakula
9. Mawakili na wanasheria tofauti wakiongozwa na ndugu Bonifasi Mwambukusi ambae hadi amefungua kesi Mahakama kuu kanda ya mkoa wa Mbeya.
10. Na wananchi kutoka mikoa yote ndani ya jamhuri ya Muungano wa Tanzaania
11. Mwenyekiti wa CUF Professor Lipumba
12. N.k
 
Tena aanzishe haraka, wananchi huku uraiani tunamsubiri tumuonyeshe ni namna gani tupo pamoja na mama yetu; Jemedari Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!
the mother of modern evil colonisation.
stupid mother indeed
 
Back
Top Bottom