Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Machafuko hali tena? Umeona waSudani ee?
mnyakyusa wawapi wewe unaogopa machafuko?,
viongozi hawasikii na bado wanapeleka mswada bungeni kutunga sheria za kuiba umiliki wa mali za watanzania, unafurahia hilo jambo?
amani ya kweli haiwezi patikana bila ncha ya upanga
 
Sawa, ngoja mjinga niendelee kujielimisha,

Bt usisahau kuwa, hata WAPUMBAVU hufika uzeeni pia, ingawa Si wote.
ndugu huyo ni aina ya watu wenye laana ambao hawajui wanapotoka pia hawajui wanapokwenda.
 
ndugu huyo ni aina ya watu wenye laana ambao hawajui wanapotoka pia hawajui wanapokwenda.
Rais Moi alitabiri kifo Cha KANU Kwa kauli za kibabe kuwa chama kina nguvu na hayupo wa kukitoa siku chache kabla ya Uchaguzi.

Tusubiri.
 
Rais Moi alitabiri kifo Cha KANU Kwa kauli za kibabe kuwa chama kina nguvu na hayupo wa kukitoa siku chache kabla ya Uchaguzi.

Tusubiri.
kuna mambo mengi ya kipumbavu wamefanya CCM na tumewavumilia, ila kwa hili la bandari tutanyooka nao yani haliwezi kupita hivi hivi
 
Tunasubiri kwa hamu muanzishe fujo!
Fujo hazitatoka nje,

Hazitaanzishwa na Jirani,

Fujo zitaanzia ndani ya family, pale mwanao atakapokwambia umwachie hatamu sababu umezeeka.

Pale utapomwamrisha polices kuwa PIGA!!

Naye atakujibu "KWANINI nipige"?

Kuna mmoja alitoroshwa na walinzi akiwa na suit ya Kuzaliwa nayo!!!
 
sawa, jipangeni vizuri safari hii hatuingii mtaani ila tunaingia ndani ya nyumba zenu na ndugu zenu.
ndugu zenu na familia zenu ndio watawaambia muufute huo mkataba
NJOO HATA LEO KWANGU...NIKUPE LOCATION?
 
Fujo hazitatoka nje,

Hazitaanzishwa na Jirani,

Fujo zitaanzia ndani ya family, pale mwanao atakapokwambia umwachie hatamu sababu umezeeka.

Pale utapomwamrisha polices kuwa PIGA!!

Naye atakujibu "KWANINI nipige"?

Kuna mmoja alitoroshwa na walinzi akiwa na suit ya Kuzaliwa nayo!!!
UNAOTA WEWE, ANZISHENI FUJO MUONE...WENZENU WANAKIMBILIA BELGIUM NYIE MKITANDIKWA
 
UNAOTA WEWE, ANZISHENI FUJO MUONE...WENZENU WANAKIMBILIA BELGIUM NYIE MKITANDIKWA
Tanzania Huwa tunasema tu, mambo yanabadilika.

Hii ni Nchi ya Amani.

Nchi ya AGANO.

Nchi ya watu wa Mungu wapendwao sana.

Tusubiri.
 
Tena aanzishe haraka, wananchi huku uraiani tunamsubiri tumuonyeshe ni namna gani tupo pamoja na mama yetu; Jemedari Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!
pumbafu labda uko pamoja naye we mwenyewe,si uraiani tunataka bandari zetu nasiokitu kingine
 
kipigo cha wavuruga amani
Kuuza Mali za urithi bila ridhaa ya mwenye Mali Si kuvuruga Amani huko?

Kuweka hatarini USALAMA wa Nchi Kwa kumilikisha Taifa jingine Bandari zetu, lango la Nchi Si kuvuruga Amani huko?
 
Back
Top Bottom