Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

Bandari iuzwe kwenye soko la hisa la Dar es salaam, Ni kiasi cha bunge sheria ya bandari ili iweze kusajiliwa BRELA kwa kampuni ya Umma na hisa zake ziweze kuuzwa kwe soko la hisa , kila mtanzania aweze kununua hisa hiza kunufaika na utajiliwa Bandari.
 
yaani hangaya auze nchi kwa wajomba zake mumpangie? hahaaaa na bado naskia anataka kuuza na mount kilimanjaro kabisa uwe kwa kina wazee wa maandamano kule, stay tuned bado mtaona mambo mengi sana ni muda tu haujafika , fiiiisiiiiemuuuuuuuuuu oyeeeeeeee, yani ukiwa chama la mbogamboga raha sana akili unamwachia mwenyekiti wewe unazurura tu kama umbwa koko.
 
Back
Top Bottom