Kuhusu Elie Mpanzu kucheza mechi za Ligi ya Shirikisho

Hadithi zote za nini kwanza nani anajali?
 
Mashindano ya kukuna nazi .mkaingia fainali?
 
Jibu hoja,hajauliza takataka unazoandika
 
TABORA UTD 3 YANGA 1.

AZAM 1 UTO 0.

CHIKOLAAAAAAAAA.

MUNGANGAAAAAAA.

SILAAAAAAAAAAAA.
 
Kiwango cha mijadala JF kimeshuka sana.Watu hawastick tena kwenye topics,wanasutana kama wake wenza.Haikuwa hivi hii JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…