Kuhusu Four Seasons Hotel ya Serengeti

Kuhusu Four Seasons Hotel ya Serengeti

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habari za jiona wapendwa.poleni na majukumu ya maisha.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika..ninarafiki yangu (me)lakini sasa ni kama ndugu maana tulipotoana ni mbali.Yes.

Yuko kwenye hotel industry kwa muda kidogo na sasa anataka kwenda kufanya kazi Serengeti Four Seasons Hotel.kilichofanya nikaja hapa,kaniuliza kama najua maisha ya huko porini nikamjibu kuwa sifahamu lakini nitamsaidia kuja kuulizia hapa JF swala lake ili kupata msaada zaidi na ndivyo nimefanya.

Najua huku kuna watu tofauti tofauti ambao pengine wanafanya kazi huko,au walishawahi kufanya kazi huko,au hata sio wafanyakazi wa hapo Four Seasons Hotel Serengeti lakini wanafahamu.

Natanguliza shukrani za dhati🥂
 
Ameitwa kuaniriwa huko?

Mwambie Kesho akimbie haraka. Ile hotel itambadilishia maisha kwa experience na exposure atakayopata pale hata akiondoka hataweza kukosa kazi hotel goyote hapa Africa.

Mwambie awahi haraka.

Nilipoisoma hii comment yako mkuu ikabidi niitafute kuiangalia..aiseeeh,,
 
Bill gates ana miliki hoteli zote za four seasons duniani kwa asilimia 100%

Wacha wee..basi kumbe ndo mana pia ngozi nyeupe nyingi zipo kule..😊😊😊aise nimeingia mtandaoni kuiangalia sio poa kabisa..nazidi kuvutika.

Kwa bei nilizoziona za rooms babaee..hakuna cha Lulu wala Irene kule.kha
 
Ikiwa ni pamoja na kugegeda Vibibi Polygon vya Kidhungu, mwisho wa siku atajikuta Mkimbizi wa Ngono kwa mabeberu.

Sasa wewe utakuwa unauzoefu mkuu naomba ufunguke jamani😅😅
Lakini mapenzi hayana umri mkuu
 
Ndio tatizo la mswahili hafikirii future yake, huko porini ndio kila kitu aache ubongobongo.
 
Back
Top Bottom