Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Habari za jiona wapendwa.poleni na majukumu ya maisha.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika..ninarafiki yangu (me)lakini sasa ni kama ndugu maana tulipotoana ni mbali.Yes.
Yuko kwenye hotel industry kwa muda kidogo na sasa anataka kwenda kufanya kazi Serengeti Four Seasons Hotel.kilichofanya nikaja hapa,kaniuliza kama najua maisha ya huko porini nikamjibu kuwa sifahamu lakini nitamsaidia kuja kuulizia hapa JF swala lake ili kupata msaada zaidi na ndivyo nimefanya.
Najua huku kuna watu tofauti tofauti ambao pengine wanafanya kazi huko,au walishawahi kufanya kazi huko,au hata sio wafanyakazi wa hapo Four Seasons Hotel Serengeti lakini wanafahamu.
Natanguliza shukrani za dhati🥂