Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Kwahiyo wezi na mafisadi wazomewe waone aibu?😁Msiba wenu Aleluyaaaaa
Lkn ndio ivyo akili za kikondoo waliopotea
Uchungu kujielewa kwenu tatizo
Uyo jamaa alikuwa mtu poa kwa yoyote
Tena ni Mkristo mwenye mke
Watoto wazuri
Sijui kwanini mnashangilia kifo kama hicho
Nyinyi ni matatizo sana tukae nanyinyi kwa akili sana!!!
Vichwa vyenu hazipo sawa!!!!
Ndio maana akanunua chopa ya Tsh bilioni 26 na kugawa magari na mapesa hapo mwishoni
Taarifa kama hizi huwa napenda zaidi link nijionee mwenyewe maana siku hizi tweet za kutengeneza kibao tu.
Mimi naamini zaidi akili yangu kuliko akili ya mtu mwingine.
Kwahiyo wezi na mafisadi wazomewe waone aibu?😁
Kwahiyo Nchimbi kusema wa tz piganieni katiba amekosea? Hana maadili??😂Mbona rip Edward Lowassa mlimpokea na kumpigiq kampeni hili awe Rais kupitia Chadema !!!
Mshahara wa dhambi ni mauti
Lakini bado sijaona picha yake au taarifa yoyote inayomhusisha yeye na rais wake Mnangwanga. Nawaona tu akina Ruto na hawa wengine.Na huyu Jamaa alikuwa anapenda sana kugawa Dola na magari.Aliwhi toa ma V8 zaidi ya 50 mwaka juzi huko kwao.
Pia alipoendaga Kenya aligawa Dola Kwa wahuduma airport yote
Kama amekufa na ngawira za watu je ?Cha msingi amekufa 😂
Kwahiyo Nchimbi kusema wa tz piganieni katiba amekosea? Hana maadili??😂
Huwezi elewa akili yako finyu kama ya nzi ungeona kilichoandikwa mwanzo imekuaje hadi nikamtaja RutoRUTO AMEKUA MWANAMKE TANGU LINI? EMBU TUELEZE
Usikimbilie tu kukomment bila kuangalia tumeanzia wp utakuja liwa ta...Ruto sio mwanamke
Hukuwahi kumjuwa Sir Wicknel Mukuru Wemazuva.Lakini bado sijaona picha yake au taarifa yoyote inayomhusisha yeye na rais wake Mnangwanga. Nawaona tu akina Ruto na hawa wengine.
Hizo pesa unazosema kugawa Airport Kenya, hukuona alizogawa hapa hapa JNIA; au ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa umezima akili?
Huyu dogo Wicknell Mukuru Wemazuva amesaidia sana kuwaexpose marais wa Ukanda huu wa Sadc wote ni wapiga madili ila mlikuwa hamumjui dalali mkuu ni nani.Lakini bado sijaona picha yake au taarifa yoyote inayomhusisha yeye na rais wake Mnangwanga. Nawaona tu akina Ruto na hawa wengine.
Hizo pesa unazosema kugawa Airport Kenya, hukuona alizogawa hapa hapa JNIA; au ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa umezima akili?
Lakini bado sijaona picha yake au taarifa yoyote inayomhusisha yeye na rais wake Mnangwanga. Nawaona tu akina Ruto na hawa wengine.
Hizo pesa unazosema kugawa Airport Kenya, hukuona alizogawa hapa hapa JNIA; au ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa umezima akili?
Wadai waibe mwili 😎Kama amekufa na ngawira za watu je ?
Wanaomdai nani atawalipa ?
Ndio ubaya wa kusafiri familia nzima pamoja ! R.I.P 😢
Mlimuombea Kiongozi wetu kifo
Lkn Mungu mkubwa kifo kimeenda kwa Aleluyaaaaa mwenzenu
Matajiri weusi ni wachache bado wanakufa wakiwa Vijana sana!!!!
Matajiri wa ki Aleluyaaaaa ndio wanateketea zaidi!!
hata muslims abdi matajiri wanakufa pia Mufuruki (rip) alikuwa muslim, sema matajiri weusi muslims ni wachache ...
hata muslims abdi matajiri wanakufa pia Mufuruki (rip) alikuwa muslim ...
Ali Mafuruki hakuwa kijana namjua kwa kuonana macho kwa macho
Umri wake ni mkubwa!!
Huwezi kufananisha na uyu Dogo
Kwa Umri !!!